Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Mkuu ungeweka Ka-CV kako ingeongeza morali kwa Wachumbaz hasa eneo la Kipato isijeikawa unataka kuwa Marioo.
 
Mkuu ungeweka Ka-CV kako ingeongeza morali kwa Wachumbaz hasa eneo la Kipato isijeikawa unataka kuwa Marioo.

KA CV KANGU NI HAKA
1. MASTERS DEGREE (FULL TIME UK)
2. CPA (T)
3. MKE NA WATOTO WAWILI
4. MWAJIRIWA SERIKALINI
Nadhani ulitaka hivi.....
 
KA CV KANGU NI HAKA
1. MASTERS DEGREE (FULL TIME UK)
2. CPA (T)
3. MKE NA WATOTO WAWILI
4. MWAJIRIWA SERIKALINI
Nadhani ulitaka hivi.....
Nimesiadia kushauri,
Mimi ni Dume la mbegu mkuu.
 
Nilijua wewe ni dume....ndo nikajitahidi kuepuka kukuita "dada......."

Makalio yako wewe

hataww.jpg
 
utaoaje mwanamke aliyekwisha zaa bwana wakati unused sub wapo wengi tu.
 
KA CV KANGU NI HAKA
1. MASTERS DEGREE (FULL TIME UK)
2. CPA (T)
3. MKE NA WATOTO WAWILI
4. MWAJIRIWA SERIKALINI
Nadhani ulitaka hivi.....

Rejea #3 ya CV yako, hivyo huyu mchumba unayemtafuta atakuwa mke wa pili? Funguka zaidi
 
utaoaje mwanamke aliyekwisha zaa bwana wakati unused sub wapo wengi tu.

Huyo aliyezaa atakua ameshatulia. Mimi sina muda tena wa mapambo......nataka kuishi bila presha.
 
mchumba anapatilana hapa?,acha uwoga hapo ulipo wapo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom