Recent content by Ligogolo

  1. Ligogolo

    The first animal you see in this picture Reveals your personality .

    Duh, iyo ya KOALA nimesoma, inanihusu kbsaaa
  2. Ligogolo

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mi nipo iringa dc, we upo Rukwa mjini au kijijini?
  3. Ligogolo

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Hellow jf members. Natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi idara ya elimu msingi. Yeye aje iringa DC mimi niende sumbawanga mjin
  4. Ligogolo

    Chumvi imeharibika, itatiwa nini hata ikolee?

    Yah, kiukweli tuna safar ndefu sana kama binadamu.
  5. Ligogolo

    Chumvi imeharibika, itatiwa nini hata ikolee?

    Ni kazi ya Roho Mtakatifu kutukamilisha kila siku.
  6. Ligogolo

    Ipi flat screen bora kati ya matoleo haya?

    Mhh, bosi nafuu ni ghali zaidi. We jichange change ununue LG, japo inch 32. Sababu hizo zote ulizozitaja apo ni magumashi, huwa zinachora mistari katikati ya kioo
  7. Ligogolo

    Chumvi imeharibika, itatiwa nini hata ikolee?

    Siyo kweli mkuu, maandiko yanasema watakatifu wapo duniani,, hebu soma Zab 16:3
  8. Ligogolo

    Chumvi imeharibika, itatiwa nini hata ikolee?

    Sawa mtumishi, umeeleweka vyema.
  9. Ligogolo

    Zijue tabia mbali mbali za wana JamiiForums

    Tuna fake sana maisha, ndo maana hatupati hata michongo ya maana
  10. Ligogolo

    Zijue tabia mbali mbali za wana JamiiForums

    Teh teh teh, wanaishi in the "world of fantasy"
  11. Ligogolo

    Sherehe za ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Rais Magufuli na Marais Wastaafu washiriki kuweka jiwe la msingi

    No corona, kama ingekuwepo basi hao watu wote wataambukizwa
  12. Ligogolo

    Sherehe za ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Rais Magufuli na Marais Wastaafu washiriki kuweka jiwe la msingi

    Tumethubutu, na tunaendelea kuthubutu kama nchi huru. Viva Tanzania
  13. Ligogolo

    Wakuu naomba msaada

    Duh, hilo ni tatzo la kiroho zaid. Huenda ni mizimu ya ukoo wake inamsumbua. Wenye uzoefu na haya mambo msaidieni ndugu yetu huyu
  14. Ligogolo

    Tetesi: Diwani wa Ifakara aliyeshirikiana na Mbowe kwenye Kilimo aliuawa kwa kukatwa Mapanga

    Ccm inaliangamiza taifa? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom