Recent content by LIGALAWISI

  1. LIGALAWISI

    KERO Wakazi wa Msasani Mikoroshini tunateseka maji taka yanatiririshwa Mtaani makusudi, tumeripoti NEMC ila wametuacha tupambane wenyewe

    NEMC imekuwa ni porojo tu na hawafuatilii na kutatua changamoto za wananchi, au mpaka yatokee majanga?
  2. LIGALAWISI

    Mtumishi Boniface Mwamposa asema "Shetani alikuwa Mwandishi wa habari"

    Ameainisha vyema nguvu ya wanahabari. Wanaweza kuwa na mchango hasi au chanya kutegemeana na sababu mbalimbali.
  3. LIGALAWISI

    GE2015 Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA), ajiuzulu na kuhamia CCM

    Yajayo yanafurahisha, siasa za Bongomovie...
  4. LIGALAWISI

    Mawakili sita kumtetea mmiliki wa JamiiForums

    Mungu ndiye hakimu wa kweli, hapa duniani tunayumbayumba tu.
  5. LIGALAWISI

    TCRA kwa kuendelea kuwadekeza Clouds kuna siku watatuwekea Ngedere kutangaza taarifa zao za Habari!

    Uandishi wa habari sio tasnia ya masihara, ambayo inaweza ikachechezewa kama mpira.
  6. LIGALAWISI

    PENDEKEZO: Rais Magufuli, anzisha Vijiji vya Ujasiriamali

    Mawazo mazuri kama haya yakifanyiwa kazi umaskini tupa kuleeee..
  7. LIGALAWISI

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Asante kwa elimu hii, nami ninajaribu kufuga nina kuku 10 kwa sasa
  8. LIGALAWISI

    Arusha: Chuo Kikuu cha St. Joseph chafungwa kwa muda usiojulikana

    Hapa Bongo Elimu inachezewa sana matokeo myake ni kuzalisha wasomi wasiojiweza hata kutatua changamoto za kawaida katika maisha matokeo yake ni kuwa na wasomi tegemezi...
  9. LIGALAWISI

    Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    Mwaka huu tutaona mengi, yatapita na tutayasahau :cool:
  10. LIGALAWISI

    Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    Mwaka huu tutaona na kusikia mengi...
Back
Top Bottom