Recent content by Life2

  1. Life2

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuua watu bure Ulimwengu mzima ukanyamaza juu yako

    Endeleeni kupumzika kwa amani Watanganyika wenzetu mliopoteza maisha yenu 29 Oct, mkiwa na lengo la kulipigania taifa hili. Mauaji ya Kimbari kule Rwanda mpaka leo yanakumbukwa. Mauaji ya halaiki kwa njaa kule Ukraine (Holodomor) kutoka kwa Urusi mpaka leo bado yanakumbukwa, na bado baadhi ya...
  2. Life2

    JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu ametaka tujifunze kupitia kifo cha Temba

    Pumzika kwa Amani Temba ndio umekufa kifo cha kikatili sana sidhani kama uliwahi kufikiria utakufa kifo cha kikatili hivo. Poleni sana wana familia wa Temba Mungu awe faraja kwenu kipindi hiki kigumu hakika ni msiba mkubwa sana kwenu na kwa wapenda haki na amani. Lakini kupitia kifo cha Temba...
  3. Life2

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni moyo wa Taifa ulioshikilia Uhai na Ustawi Wake. Tumlinde kwa gharama yoyote Ile iwayo

    Ukimlinda wewe inatosha. Kama alishindwa kuwalinda watanganyika wenzetu waliotoka Gaza na Kuamuru zaidi ya watu elfu 10 na ushee wapigwe risasi kisa uroho wake na familia yake kwa madaraka. Mlinde wewe Bwana asipoulinda mji waulindao wafanya kazi bure
  4. Life2

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga wakitaka waamuzi toka hata Brazil wataletewa ila sio kwa uchunguzi wa 29 oct, Lissu, Father Kitima..etc

    Watanganyika wenzangu mnataka kusema hapa tuna nchi kweli? taifa ambalo kuanzia asubuhi mpaka kesho yake vyombo vya habari ni kuchambua mpira, umbeya, Visingeli na uchawa humo humo. Taifa ambalo tumeacha kudili na mambo ya msingi, kulinda #Uhai wa binadamu wenzetu na kuishia kujisifu kuua...
  5. Life2

    JamiiForums Tanzania Tusiposema sisi kuhusu Damu za Watanganyika wenzetu hata Mawe yatasema tu

    Ni maajabu karne hii ya uwazi, karne ya ChatGPt, AI, Copilot..nk unataka kudanganya umma wa watu milioni 70 na ulimwengu mzima kwa Propaganda fake. Lengo la yote hayo ni kuwasafisha makatili wachache wenye mikono inayovuja #DAMU za watanganyika waliouliwa kikatili sana na wengine kuishia...
  6. Life2

    JamiiForums Tanzania Ripoti ni yake sawa, Je lini waliopoteza ndugu zao watalipwa fidia?

    Ameshakiri ripoti ni yake sawa, kama Watanganyika tumemwachia, sijui ataitunzia Tanganyika au kwao. Kama ni yake kulikua na haja gani ya kutonesha makovu ya watanganyika tena? Ingependeza kama angesomewa akiwa ofisini kwake na sio kuileta kwa umma wa Watanganyika. Atambue akiileta kwa umma ni...
  7. Life2

    JamiiForums Tanzania Ripoti ni yake sawa; Je, lini waliopoteza ndugu zao watalipwa fidia?

    Ameshakiri ripoti ni yake sawa, kama Watanganyika tumemwachia, sijui ataitunzia Tanganyika au kwao. Kama ni yake kulikua na haja gani ya kutonesha makovu ya watanganyika tena? Ingependeza kama angesomewa akiwa ofisini kwake na sio kuileta kwa umma wa Watanganyika. Atambue akiileta kwa umma ni...
  8. Life2

    JamiiForums Tanzania Maadui wakubwa wa Taifa hili kwa sasa

    Kama hukupoteza ndugu yako 29 Oct mwambie Mungu asante, ile siku kwa kifupi ni siku mbaya ni siku ambayo shetani na majeshi yake walivuna haswa damu za Watanganyika. Endeleeni kupumzika kwa amani makamanda, leo mnazingiziwa kila kitu, mlikua na Bunduki, Mabomu, Vifaru, Air to Air missiles, Land...
  9. Life2

    JamiiForums Tanzania Marekani imetoa sehemu ya orodha ya makosa yaliyodaiwa kufanywa dhidi ya Wamarekani na utawala wa Iran

    Ikulu ya Marekani (White House) imetoa sehemu ya orodha ya makosa yaliyodaiwa kufanywa dhidi ya Wamarekani na utawala wa Iran (1/2): Novemba 1979: Wanafunzi wa Iran walioungwa mkono na utawala waliteka Ubalozi wa Marekani mjini Tehran — na kuwashikilia Wamarekani 66 mateka kwa siku 444. Aprili...
  10. Life2

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki mjiandae majaribu yataendelea sana

    Ndugu Wakristo Tumsifu Yesu Kristo. Poleni sana kwa imani yenu kuguswa na kujaribiwa, kumbukeni hata Bwana Yesu alijaribiwa mno na Shetani na mwishowe akashinda. Hata hawa mashetani wanaoibuka dhidi ya dini yenu Karne hizi watashindwa tena vibaya sana.Giza hajiwahi kushinda mwanga hata siku...
  11. Life2

    JamiiForums Tanzania ‘Dada Mkatoliki’ akichangia kwenye kipindi cha 'Malumbano ya Hoja' kuelekea Uchaguzi 2025

    Sio dhambi kabisa kumbe siasa na imani vinafaa kuchanganywa siyo kaka
  12. Life2

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki mmewatambua watesi/maadui wa Imani yenu?

    Juu ya Mwamba huu ntalijenga kanisa langu wala milango ya kuzimu/shetani hatalishinda. Ni nyakati nyingine tena Kuzimu pamoja na Mashetani yake yameibuka tena wakitaka kupambana na Kanisa la Yesu mwenyewe. Waambieni watawala hawapambani na Wakatoliki bali wanapambana na Yesu Mfalme mwenyewe...
  13. Life2

    JamiiForums Tanzania Leo wanawatumia kuandamana kesho watawatumia kwenye ajira, vyuoni na kwenye hospitali

    Ni jana tumeshuhudia wanaojiita wakatoliki feki wakiandamana kuelekea kwa Balozi Mwakilishi wa Baba Mtakatifu Tanzania. Mungu alivyokua wa Ajabu hata kabla ya Sinema zao kaamua kuwaaibisha, kwa ishara na matendo yao. Leo walioratibu huo mpango either wanatoka Serikalini au Chama cha Mapinduzi...
  14. Life2

    JamiiForums Tanzania Viongozi Madikteta na kauli mbiu yao ya kulinda rasilimali

    Rais wako kashinda kwa asilimia ngapi, wewe Ges ya Mtwara unaifaidi vipi, Chuma, makaa ya mawe huku ukizidi kuishi kwenye umaskini wa kutupwa, Marekani ana demokrasia kweli na Kiboko ya madikteta uchwara.
  15. Life2

    JamiiForums Tanzania Viongozi Madikteta na kauli mbiu yao ya kulinda rasilimali

    Dikteta ni nini/nani. ni mfumo ambapo kikundi cha watu wachache au mmoja wanatawala nchi kwa mtutu, wakiwa juu ya sheria, wakiua watawaliwa, kuteka, kubaka na hata kunyanganya mali za watu. Sifa kuu ya madikteta ni kuvishika na kuvitawala vyombo vya ulinzi na Usalama. Kwa nyakati za hivi...
Back
Top Bottom