Recent content by Life starts at 45

  1. L

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kupeana machimbo mbalimbali ya vifaa vya ujenzi na bei zake

    Wakuu nakazia hapa kwa walio na bei watuwekee na location kabisa
  2. L

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msaada Niweze kuacha Kamari ya Aviator, Maisha yangu hayaendi vizuri, Kamari hii Inataka kunitoa Roho

    Mkuu pole sana kwa uraibu unaokutesa. Shida kubwa ninayo iona ni kwamba hujakubali kuwa umepigwa badala yake unapambana ili urudishe kilicho chako kitu ambacho ni kosa kubwa unafanya. kwanza kubali kuwa umepigwa hizo ulizopigwa na huna namna ya kuzirejesha ifanye kuwa hasara maishani kwako...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Clearing Forwarding Agent.

    mkuu na kutoa gari ni shingapi?
  4. L

    JamiiForums Tanzania African Satellite World and Sat Gear

    Wakuu nina king'amuzi cha Azam lakini nina changamoto moja ya channel za MBC kutokushika na ikitokea zimeshika basi zinakuwa zina kwama kwama sana naomba msaada shida inaweza kuwa nn hapa chini nimeweka picha za settings zilivyo
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    wakuu naomba kuuliza kwa wale wanaofuata barua utumishi na huna kitambulisho ila una namba ya NIDA jee kuna ugumu wowote unatokea na kama upo solution yake ni ipi maana kwenye interview unaweza enda na barua ya utambulisho basi unakuwa ume solve hilo
  6. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa namna ya kutengeneza API

    Duuh! kumbe mimi ndie niliomba msaada wa namna ya kutengeza API? Yote kwa yote asanteni sana wakuu maana kwa sasa nazishusha kwa kutumia Java na framework ya Spring-boot
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wazo la kutengeneza mobile app

    😂😂 kuajiriwa
  8. L

    JamiiForums Tanzania Chanika ni kama unaenda mkoa mwingine

    vipi distance Kibaha - Posta sio mbali sana
  9. L

    JamiiForums Tanzania Chanika ni kama unaenda mkoa mwingine

    Mkuu kwa mtu anaejitafuta unashauri achukue wapi kiwanja sasa maana mimi nilianza kufikiria huko chanika
  10. L

    JamiiForums Tanzania Telegram inafanya kazi kwenu ndugu zanguni?

    bado inasumbua?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Telegram inafanya kazi kwenu ndugu zanguni?

    Untumia OS ipi?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Telegram inafanya kazi kwenu ndugu zanguni?

    Riseup VPN
  13. L

    JamiiForums Tanzania Telegram inafanya kazi kwenu ndugu zanguni?

    Tumia hii
Back
Top Bottom