Recent content by LICHAH

  1. L

    JamiiForums Tanzania Passport: Maombi ya Hati ya Kusafiri ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Hodi wana jamvi, mwaka jana mwezi wa saba, Niliomba paspoti huku mkoani napoishi, madhumuni ya paspoti hiyo ilikuwa nikwa ajili ya kwenda masomoni. Niliambatanisha kila document iliyotakiwa, na nilichukuliwa hadi alama za vidole lakini mwisho wa siku nikaambulia patupu. Nilijaribu kufuatilia...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

    [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  3. L

    JamiiForums Tanzania AJALI: Lori laanguka katika Daraja la Nyerere(Kigamboni) jijini Dar usiku huu

    Nahis hapa Tanzania kuna mzimu wa ajali. Si bure
  4. L

    JamiiForums Tanzania Maajabu mengine ya Tanzania, Mabasi ya abiria yafanana namba za usajili

    duh vijana mko makini hhaha
  5. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Pole sana ndugu yangu, kwa jinsi ulivyojieleza, nimejikuta nabubujikwa na huruma. Mbali na udreva, fani yako nyingine uliyosomea niipi?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Uandikishaji wa wapiga kura 2015

    hahahahahahaha........... umeua kabisa
  7. L

    JamiiForums Tanzania I am looking for graduates and anyone who is looking for job

    Pwipwipwipwi....................!
  8. L

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    hahahahaha..........!
  9. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi tafadhali

    how? au unataka umpe mtaji!!!
  10. L

    JamiiForums Tanzania Interview TBS, maswali yanakuwa tofauti kulingana na utofauti wa degree au ni general?

    inategemeana na tasisi husika. wanaweza,toa maswali ambayo ni general kwa wote, mfano BAM na ENGLISHI tu
  11. L

    JamiiForums Tanzania TBS kimenuka interview

    Wadau hii inakera kama siyo kuchosha. Kwa vile TZ kuna uhaba wa ajira basi taasisi za serikali zimeona ni vema kuendelea kuwasumbua watanzania kwa kumuita kila muombaji wa kazi kufanya usaili. Nimeshangazwa sana na TBS, nafasi ya watu 10 mnaitwa 752' mh kunahaja ya serkali kuziwajibisha taasis...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Jobless-Graduates Association Press conference

    Hapa wadau mmenifundisha kitu, cc tumetelekezwa mtaani wao wanakula tu, tena baadhi yao ni undercolified. Alafu walivyo wa ajabu, ajira wanazibana makusudi kwa watoto wawalala hoi huku watoto wao wananeemeka. naungamkona hiyo chama.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Haya kazi kwako

    JamiiForums.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job from home
  14. L

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa mtusaidie katika hili. Tunaangamizwa watanzania wenzenu

    .
Back
Top Bottom