Kwamba TISS inanunua na kutumia magari kama hayo? Hivi nyie watu huwa mnawaza nini? Mnaamini kuwa hawa watu ni so reckless kutumia vitu ambavyo ni suspicious hata kwa mtu wa kawaida tu? Yaani watake kuficha identities zao lakini wanazificha kwa kutumia uficho ambao ni so obvious and suspicious?
Mkuu utetezi wako uko very illogical. Well, let's agree kuwa Wazaramo mpo btn 900,000 mpaka 1,200,000. Then population ya wakazi wa Dar ni 6,000,000. Kwa utetezi wako ambao uko completely illogical unataka kusema wakazi wote wa Dar huwa wanacheza hivyo vigoma? And come to your conclusion kuwa...
Mtu yeyote mwenye akili anaweza kuelewa nilichoandika na akapata crystal clear message. Kwa ambaye hana akili lazima aandike kama ambacho umekiandika. Sasa sijui upo kwenye kundi la wenye akili ama lah
What a brainless idiot in you? Is a dead man reaping anything? What are your insults doing to him. If at all you couldn't criticise him while he still was alive, then what impact on him will your critics have?
You heedless fools are so much disgusting and nauseating. We've national important...
Mkuu, wengine haya mambo tulianza kuyapigia kelele toka mwanzo lakini tukaambiwa ni Sukuma Gang ilhali tulipinga mambo mengi sana yaliyokuwa yakitendeka chini ya Hayati Magufuli. After his demise tuliamua kukaa kimya maana tulijua there's nothing could be undone after he was gone. Tukaamua...
It's a year now tangu mzee wa watu afariki. Ninaamini sasa hivi watu mnalamba asali. So definitely picha hiyo aliyezuwia isiwepo sasa hayupo. Au wanaogopa wakiiweka atafufuka?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.