Recent content by liberal mindset

  1. liberal mindset

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani akabidhi Ambulance Jimboni

    kwa magumashi aliyopiga huyu dogo kwa mgongo wa baba yake akiwa ikulu anatakiwa ambulance kila wilaya Tanzania nzima .. ya jimboni kwake ni suna ndogo sana
  2. liberal mindset

    JamiiForums Tanzania Muuza Madawa ya Kulevya maarufu, Hussein Mafisi akamatwa

    mkuu inaonekana una fact za ndani .. hebu tupia unyumbulishe ukweli !!
  3. liberal mindset

    JamiiForums Tanzania Darubini ya Mtatiro: Nchi hii haikuwa na kiongozi miaka 10 iliyopita?

    JK was really absent! The guy was good for nothin .. uzuri wa mkakachi ndani kipande cha mti .. xo disappointin !
  4. liberal mindset

    JamiiForums Tanzania Namshauri Mh. Rais abadilishe fedha ya nchi

    Mkuu hii nshidaaaa , imekaaje hii .. so inabidi huyu Membe kuchunguzwa .. tetesi kuntu hizi mkuu! PCCB sijui wanapitaga na huku! ?
  5. liberal mindset

    JamiiForums Tanzania 10 deadly words that can help you judge a womans mood

    .. this kind of response mostly ni kwa wanawake wenye matatizo . . hard characters za kimjini!
  6. liberal mindset

    JamiiForums Tanzania Hesabu: Aggrey Mwanri ni waziri anaesubiri kuapishwa

    Hizi ndo hoja chakavu!!
  7. liberal mindset

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kumetokea nini hivi punde?

    Tetesi ni mwanzo wa habari .. tusubiri tuone!
  8. liberal mindset

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Fafanua mkuu ..
  9. liberal mindset

    JamiiForums Tanzania Mtatiro anapoteza jimbo kirahisi Segerea, CHADEMA wanahusika

    Kinachoendelea segerea ni vita ya panzi furaha ya kunguru ..
  10. liberal mindset

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anataka nimkopeshe laki 8

    aisee you made my day kwa kweli .. ts tru wapo ambao wakiona mapenzi hayana maisha yataisha siku si nyingi anajifanya anakupenda sana anaukoleza moto wa mapenzi anakukopa kibunda then anapita hivi .. ndo kashachukua kiinua mgongo chake! dah dunia hadaa ....
  11. liberal mindset

    JamiiForums Tanzania Navutiwa sana na mwanamke mweusi

    black women rock!!
  12. liberal mindset

    JamiiForums Tanzania Kwa waliooa: Hivi pale sebuleni kwako una siti maalumu au unakaa popote tu

    I think its a kind of custom embraced differently by different people .. usishangae kusikia wapo wazee wenye special toilet room zao hahaaa (not in self contained bedroom)
  13. liberal mindset

    JamiiForums Tanzania Kuhusu siasa na majina yanayoanza na JM!

    Acha ramli za kisenge ..
  14. liberal mindset

    JamiiForums Tanzania Ukijaribu kila mbinu unakwama kabisa, Subiri matokeo ili ujipange upya

    vivaaa ukawa!! ccm out!!
  15. liberal mindset

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mzee Emanuel Makaidi, Mwenyekiti mwenza wa UKAWA afariki dunia

    nimesoma kwa kina wasifu wake .. it seems as if ni miongoni mwa wanazuoni ambao hawakutumika ipasavyo kwa manufaa ya nchi en probably ths was intentionally kwa damu ya kimageuzi na mfumo kandamizi wa awamu za awali .. good that he keep the spirit en today UKAWA here we are! I wish rest in peace...
Back
Top Bottom