MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,553
- 41,467
Inategemea na uhusiano wenu upoje hata kama haujaelekea ndoa au uchumba.Inategemea na huyo mpenzio yupoje kwani wewe ndo unamjua vizuri.Mimi nimewahi kukopeshana na my bf sana tu na tulikuwa tunarudishiana bila ugomvi na mpaka tunaachana nlikuwa namdai na alinilipa.Hivo hapo inategemea mtu akiwa mrushi hata ungekuwa umemtolea mahari atakutapeli tu.Ukiona anafaa kupewa na atarudisha mpe otherwise mwambie huna
aiseee nikopeshe na mimi basi