Habari za mchana wakuu Kuna kitu Kwa upande wangu nashindwa kukielewa.
Kuna tatizo kubwa la ajira nchini nimejaribu kufatilia hatua mbali mbali ambozo Taifa linachukua Bado sioni kama zinaridhisha. Swali langu kwanini selikali isibadili mitaala?
Kuna gharama Gani kuibadili mitaala iliyopo...
Mkiingia makazini msijisahau....epuka ku fungua file lako
Mara najenga..
Mara nataka kununua gari
Mara ooh nafny hiki
Shit...hapo ndo chuki huanzia
Karibu kua na mipaka kazini utaona kazi nzuri!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.