Recent content by LH XiV

  1. LH XiV

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mzani wa mawe

    Wanajamvi humu ndani nahitaji mzani wa dukani wa mawe na sio wa mshale.
  2. LH XiV

    JamiiForums Tanzania HP laptop for sale

    Unatafuta ya kias gan,
  3. LH XiV

    JamiiForums Tanzania HP laptop for sale

    900,000/=FIXED
  4. LH XiV

    JamiiForums Tanzania HP laptop for sale

    *Hp* Haddisk 1000 GB RAM 12GB PROCESSOR 3.5HGZ Touch screen with 19"
  5. LH XiV

    JamiiForums Tanzania ONTARIO'S JF Exclusive Interview: Ujasiriamali na harakati za maisha kwa ujumla

    Genius thoughts, sasa kwa kijana ninaye taka kuingia % kwenye kilimo nini hasa cha kuzingatia ? nikiwa sina uzoefu na ujuzi wa kilimo lakini nime kuwa INSIPIRED na wewe I can say. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. LH XiV

    JamiiForums Tanzania ONTARIO'S JF Exclusive Interview: Ujasiriamali na harakati za maisha kwa ujumla

    Sawa kabisa Ontario, kama vijana wenzio utamshauri nini kijana aliyeajiriwa and at the same time anataka kuanzisha kilimo lakini hana usimamizi madhubuti na ujuzi wa shambani ? Je, nini hasa azingatie anapo anza biashara ya kilimo ? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. LH XiV

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

    Soma mpaka mwisho uelewe sio kurukia mambo boss.... Sent using Jamii Forums mobile app
  8. LH XiV

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

    Na we ni kibaraka wa nani ? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. LH XiV

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

    Kumbe vibaraka ni wengine mpo humu, Pumbuvu kabisa. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. LH XiV

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

    Lissu si mtanzania mwema. Ni mtu hatari kwa usalama wa nchi na ustawi wake. Tarehe 24.3.2017 katika hotel ya Golden Tulip alikutana Na wakandarasi waliokuwa wakifanya kazi katika kampuni iliyosimamishwa kwa kukosa weledi katika kazi, Miongoni mwa wahandisi aliokutana nao ni wafuatao 1. Allan...
  11. LH XiV

    JamiiForums Tanzania ONTARIO'S JF Exclusive Interview: Ujasiriamali na harakati za maisha kwa ujumla

    Very Inspirational Sent using Jamii Forums mobile app
  12. LH XiV

    JamiiForums Tanzania Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

    Mungu wa Paulo ndo Mungu wa Daudi ndo Mungu wa John mnayemwita Yohana wa wayaudi. Someni Yohana Mtakatifu hasa kuanzia mstari wa 19. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. LH XiV

    JamiiForums Tanzania Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

    Mkuu ROMA Alishasema hataki kuhangaika na soko la mpaka awakilishe waTZ kwan muzik wake ni wakuwakilisha wananchi kwa viongozi. Pia hiyo ya melody ni ID yake kwenye uwasilishaji angalia kwenye nyimbo zingine za kucheza alizotoa ametumia melod nyingine Sent using Jamii Forums mobile app
  14. LH XiV

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume kupotea baada ya muda mfupi wa mahusiano

    ❤UHONDOWA MAPENZI Sent using Jamii Forums mobile app
  15. LH XiV

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikuwahi kudhania kuna siku msichana wangu wa kazi atanibaka. Nimeumizwa sana

    ❤UHONDOWA MAPENZI Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom