Recent content by leyowl

  1. leyowl

    Afisa ugavi TEMESA ashtakiwa kwa kutaka kulipua ofisi

    Tukio hilo hilo lau angefanya muislam, title ingebadilika, ingesema GAIDI LA KIKE LAKAMATWA BAADA YA JARIBIO LA KURIPUA OFISI KUFELI, mna nini nyieeee
  2. leyowl

    Idara ya kupambana na ugaidi Tanzania kusaidia Kenya kupambana dhidi ya Al-shabab

    Walillipua ubalozi wa marekani kwa sababu wana ugomvi na marekani, wangekua na ugomvi na sisi wangeripua ikulu, tumia akili...nenda wewe peke yako shujaa
  3. leyowl

    Mkombozi bank vs Stanbink bank

    Ni kweli magaidi wote ni waislam kama adolf hitler vile au sio
  4. leyowl

    Azaboy, Jangwani, Zanaki, Kisutu, tukutane hapa

    Hebu acheni utoto, vishule vyenyewe vya ajabu tu, na wa ILBORU, KIBAHA, MZUMBE NA KILAKALA TUFANYEJE, acheni ujinga
  5. leyowl

    Kuna uhusiano gani kati ya Maandishi ya Kiarabu na Uganga?

    Wewe mfuasi wa abuu ismail then wajiita eti salafi,wewe ni khaarij,toa avatar yako ya shari hiyo
  6. leyowl

    Miji mikubwa 10 Tanzania kwa idadi ya watu

    Jiji gani masaa 8 kutembea ushalimaliza,njoo dsm police wenyewe patrol bila chopa....
  7. leyowl

    Miji mikubwa 10 Tanzania kwa idadi ya watu

    Ndo maana na wewe umetoka kijijini kwenu kuja dsm kushangaa
  8. leyowl

    For JamiiForums Mobile users

    Sawa mkulu
  9. leyowl

    For JamiiForums Mobile users

    (COLOR=red)MOBILE(/COLOR)
  10. leyowl

    Mabasi ya Dar - Mwanza ni hatari!

    Huu uandishi wa xx hatuutaki...peleka facebook,humo tupo watu na hishma zetu alaaa
  11. leyowl

    Nchi 20 Duniani zinazo ongoza kuwa na watu wengi wenye HIV, Tanzania ni ya 6

    Huo ndo ukweli..hata nafsi yako yashuhudia
  12. leyowl

    Nchi 20 Duniani zinazo ongoza kuwa na watu wengi wenye HIV, Tanzania ni ya 6

    Uislam ndo mfumo sahihi wa kimaumbile....mwanamke akijihifadhi mnasema ananyimwa haki,haya endeleeni kupata haki yenu ya ukimwi
  13. leyowl

    Ukaguzi wa mapaja Jiji la Dar ijumaa hii

    Mimi naona ujinga tu...mbona pesa zao wanazificha benki?kwa hiyo pesa zao zina thamani kuliko miili yao
Back
Top Bottom