Recent content by LexAid

  1. LexAid

    Madawa ya Kulevya: Uhamiaji Dar wamnasa Mnigeria kinara wa kusafirisha unga

    Nakumbuka mkuu, lakini ndio ningetegemea kuwa angeingia Underground after that kwa sababu "King Pin" wakiaza kutokea tokea kwenye Matukio na habari mbaya ndio Mwisho umefika Bro!(Give 5yrs Max)
  2. LexAid

    Madawa ya Kulevya: Uhamiaji Dar wamnasa Mnigeria kinara wa kusafirisha unga

    Ameshanyea CV yake Bongo Mkuu! Smart ones hawasikiki!
  3. LexAid

    Madawa ya Kulevya: Uhamiaji Dar wamnasa Mnigeria kinara wa kusafirisha unga

    Mjinga Sana huyu. Kashindwa kupenya "Shamba la Bibi"?. Basi tena sasa akachunge Ng'ombe tuu!
  4. LexAid

    PICHA za Capt. Komba zenye utata zasambazwa kwenye mitandao ya kijamii!

    I think bosi wake anaeuendekeza huu upuuzi je? cc Kigogo
  5. LexAid

    Kuna MWANAKWAYA kanivutia kanisani kwetu...

    Mpe nafasi Dogo, inategemea anania gani Mkuu. Huyo shetwani Ashindwe na kulegezwa!
  6. LexAid

    Nimemfuma katuma picha kwa Co-worker mwenzie

    Kama ndivyo demu wako alivyokuambia basi basi Mkuu kazi unayo. Vicheche vilivyokubuhu ndio zao kutuma picha za matangao. Demu wa ukweli hatumitumi mambo yake ovyo...Unless hiyo picture uipige wewe mkuu!
  7. LexAid

    Nimemfuma katuma picha kwa Co-worker mwenzie

    Halafu tena alikua mlevi? Lazima walimchapia tuu! (Demu yoyote hawezi kukutumia picha ya chupi kama hujambandua bado)
  8. LexAid

    Pharmacy for sale

    Mbona Mtemi? Kama unakimbizwa?
  9. LexAid

    Naomba kujua bei za madirisha na milango ya Alminium

    From his quote; dirisha la mita moja na nusu upana na urefu wa mita tatu kwa shilingi Laki Moja kwa square meters ni (1.5 x 3) x 100,000 = 450,000 (450,000 x 18%) = 81,000(VAT) 450,000 + 81,000 = 531,000 Ndio bei elekevu Mkuu
  10. LexAid

    Hivi kwanini majambazi wanapenda sana kutumia Boxer BM 150..?!!

    Inaelekea ndicho unachojua tuu. Pole sana.
  11. LexAid

    No comment

    Wife nae angeweka ya small dick.son!
  12. LexAid

    TAKE CARE yasije kukuta na wewe

    Safi sana, hapo kilichobaki ni vitendo tuu! (Kama Mr&Mrs Smith, redecorating the house scene)
  13. LexAid

    Hivi kwanini majambazi wanapenda sana kutumia Boxer BM 150..?!!

    Kama ukujua inamaanisha kuwa wewe ni mmoja wao.
Back
Top Bottom