Pharmacy for sale

kichenchele

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
539
250
For those who are interested and need to do business you may have a look on how it looks like, i would however need who are real serious so that we can avoid some sort of inconveniences and wastage of time.much appreciation
 
Attachments

  • File size
    3.7 MB
    Views
    216

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
573
250
For sale au for rent?
Maana umeandika kichwa cha habari for sale, lakini ndani umeandika FOR RENT 200,000 Tshs kwa mwezi.
 
kichenchele

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
539
250
Mbona Mtemi? Kama unakimbizwa?

Pharmacy iko established tayari na ilikuwa inaoperate japo kwa sasa imefungwa, si kwamba tunauza na jengo hapana ninatafuta mtu atakayeweza kupaendesha maana kila kitu kiko sawa kama mtu anapaafiki ni kununua na kufungua nadhani pia nilisema kwa mwenye kuhitaji maelezo ya kina na si kwa utani basi tuwasiliane nje ya hapa kwani itakuwa vyema
 
mumak

JF-Expert Member
Oct 24, 2013
955
500

hiv mkuu kwann usiweke wazi kila kitu hapa jukwaani ili kila mtu aweze kushawishika kuliko hizo pm au ni biashara ya magendo?weka bei ili mtu asiaribu salio kumbe bei haikamatiki,
 
mshumbusi

JF-Expert Member
Oct 24, 2011
457
250
Pharmacy iko established tayari na ilikuwa inaoperate japo kwa sasa imefungwa, si kwamba tunauza na jengo hapana ninatafuta mtu atakayeweza kupaendesha maana kila kitu kiko sawa kama mtu anapaafiki ni kununua na kufungua nadhani pia nilisema kwa mwenye kuhitaji maelezo ya kina na si kwa utani basi tuwasiliane nje ya hapa kwani itakuwa vyema
Kama nichek kwa namba hii 0786004243

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom