Baada ya pilika za kutwa nzima naamua kupitia jamii forum!!! among other thing nimekutana na argument zinazochekesha sana kutoka kwa masterz holder, very goodluck nimekutana pia na kijakazi wangu ambaye amepost mengi tu juu ya uelewa wake katika level ya masterz japo aliishia darasa la saba na...
People with reasonable minds wanajua namaanisha nn!!! But he/she who think simple, hutafsiri simpler na mwisho hurahisisha hoja na definately huona mwenzake yupo nje ya mada!!! Amka usingizini sasa na kuruhusu hoja mbadala na kuruhusu mageuzi akilini mwako!!
Wakati simple minds, wakibishana kutwa nzima na kujivuna juu ya chuo kimoja kuwa bora kuliko kingine na hali hawana uhakika hata wa kuhitimu hizo 1st degree majirani zetu waganda wamezindua gari waliotengeneza wenyewe isiyotumia mafuta!!! wakenya ndio walimu na watangazaji wa kiswahili duniani...
Kwa sisi wahasibu; kama hujafuzu na kusajiliwa na recognized board ya wahasibu either ukawa na cpa, acca, etc ni kazi bure hata ungesoma masters au phd oxford au havard!! naamini wanasheria pia wanajitambua kuwa bila ya kusajiliwa na bodi yao ni bureeee utaishia kuwa kishoka tuuuu. Wale...
Watanzania amkeni!!!! tunapaswa kujadili issues na si vitu au watu!!! huwezi kuthaminisha ubora wa chuo kimoja against kingine kwa hoja nyepesi kwa kuwa hakuna junction inayowapima! Ni hoja mufilisi sana kwakuwa kila mmoja hupimwa kwa vigezo tofauti. Ingekuwa sekondari sawa kwakuwa wanafanya...
Habari za asubuhi wadau!!!! nimepitia hoja nyingi katika uzi huu na kugundua yafuatayo; kwanza wengi wanachangia kwa munkari ya juu either katika kukosoa au kutetea, na wengi wanaonekana kutoelimika kabisa ila wanaeza kuwa na vyeti!!! Wengi mnadhani elimu ni cheti au cheti hicho kimepatikana...
watanzania tusiwe watu wa kulalamika tu. airport ni sehemu ambayo international standard lazima zifikiwe! jambo la kujiuliza mgahawa huo unalipa kodi au lah"!! je ukihitaji kuwa na biashara airport ni vigezo gani vinatakiwa kufikiwa!!!! kuanza kumlalamikia mtoa huduma kwa minajili ya uhindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.