Recent content by levityman

  1. levityman

    Stop dating mentally broke girls

    This is bitter truth, and majority wont get in line with you
  2. levityman

    Natamani nipate mume mwenye hela ila asiwe na kibamia 2020

    mtoa mada inabidi achunguzwe, ni muhujumu uchumi kama wengine..
  3. levityman

    Ukizaa na mume wa mtu, mtoto ni wa kwako

    Mwenye uzi kaandika ukweli, wachangiaji nao wanacommenti ukweli....ukweli ukweli to 2020.
  4. levityman

    Kuna familia zina laana ya asili

    Nimeishia kucheka kwenye jambo la kusikitisha..pole mdau
  5. levityman

    This is how my life is going on! Nani mwingine anaishi kama hivi?

    You are right with your choices, sometimes it happen you ignore the world and stand alone with what you believe
  6. levityman

    Having privacy vs keeping Secrets

    posting your lover is optional depending on your peers,interests(lifestyles) e t.c.To me it doesn't matter though she always complain of not posting and she really know i do love her.
  7. levityman

    Kuitwa baba

    jina lina uzito,ukiitwa hivo ujue ukiombwa hela sharti utoe kama baba vile hanyimi mtoto hela.
  8. levityman

    Fahamu madhara ya kutokuwa na mpenzi muda mrefu

    mmh! habar zingne ngumu kumeza though its true.
  9. levityman

    Ni wakati wa Rais Magufuli kumpigia magoti Kikwete na Membe

    ndo awapigie magoti,...? au unamanisha vingine..otherwise change your body language.
  10. levityman

    Hawa ndio Maadui wakuu wa Rais Magufuli na serikali yake!

    nagundua pia watz wenyewe hawajiamin hata wasomi naona kama wanaogopa juu ya ishu ya kunyimwa hela, kama mtu an akili zake timamu ataelewa nin kiko kwenye hii thread ,naona watu wanaleta negativity kwa mambo ya muhim kama wao si watz na kushangilia kana kwamba inayokomeshwa ni ccm au uncle...
  11. levityman

    Wanaume wenye vitambi

    nina kibosi changu hapa ni kifupi afu kina kitambi ni balaaa...na umesema wafupi wametulia kidogo ila huyu ni moto wa kuotea mbali ...
  12. levityman

    Kuweka Picha ya Mpenzi wako kwenye Profile ya WhatsApp!!

    mtoa maada ana mawazo binafsi..ila ni jambo la kawaida sana na wenda likawa na maana au lisiewe na maana,why asking silly questions in this free world? kama wewe hupendi acha na wanaopenda waendelee.
  13. levityman

    Mama kaniambia ataniletea mke next week nipende nisipende

    story ya binti kimanzi hiyooo.....
  14. levityman

    Nihukumu mimi: Nimemuacha mpenzi wangu kisa ni msomi, sasa najuta

    watu wanacheka tu hapa na wao ndo alifuata ushauri wao, unaweza usioe /kuolewa kama ukifuata maneno ya MMU... unakurupuka tu kama BRAZA K..pole.
  15. levityman

    Nina mpenzi wangu

    acha moyo wa kukata tamaa, predators always get the prey they want hata azungukwe na madume.
Back
Top Bottom