Recent content by Levictus

  1. L

    JamiiForums Tanzania EFM yamburuza Paul James mahakamani kwa kuvunja mkataba, yadai fidia ya shilingi milioni 200

    Hili swala linanishangaza sana mkuu. Privacy ya clients is at stake. Na sidhani kama tatizo ni new generation of lawyers, kuna senior counsels wanafanya haya mambo hadi aibu mkuu
  2. L

    JamiiForums Tanzania Hii ni Standi ya Mtwara?

    Mtwara kuchele
  3. L

    JamiiForums Tanzania Viwango vya mshahara Maxmalipo co ltd

    Sawa mkuu your comment is honoured
  4. L

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa Atembelewa Na Mtoto Ambaye Ni shabiki Wake

    Kweli siasa bila unafiki haiwezekani
  5. L

    JamiiForums Tanzania Viwango vya mshahara Maxmalipo co ltd

    Noted mkuu. Niliisoma kwa haraka sentence yako. But just take it from me. Kuna taasisi kubwa tu huwa zinapita vyuoni kwaajili ya career recruitment for young graduates. Zipo za ndani na za nje pia. At times I count myself very lucky maana it was a thing that I did just to try and it real worked out.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Akiba Bank wauza nyumba kwa mnada Dar

    Umesahau mchepuko
  7. L

    JamiiForums Tanzania Akiba Bank wauza nyumba kwa mnada Dar

    Mzee acha vitu vingine ni huruma sana
  8. L

    JamiiForums Tanzania Viwango vya mshahara Maxmalipo co ltd

    Mkuu mimi nimeshafanyiwa interviews na wabongo na nyingine nimefanyiwa na hawa wenye ngozi za pink. Kuna tofauti kubwa sana mzee. Very big difference. Yaani unaona kwamba wakati mbongo anataka utoe yale uliyokariri darasani, wenzetu wanataka uoneshe skills zako in handling matters. I think...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Viwango vya mshahara Maxmalipo co ltd

    Pia mimi si muumini wa hizi itikadi maana zimekuwa zinafunga akili za wahusika in such a way they don't see beyond they itikadi. Sina ukada wowote maana nilitoka kijijini kuja chuo kusaka maarifa na fursa.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Viwango vya mshahara Maxmalipo co ltd

    Mkuu kuna mambo mengine ni kuyaacha jinsi yalivyo. I had my classmate tunafanya final UE mwaka huo alikuwa ameshalamba ajira ambayo take home was 2.4. Sioni kitu cha ajabu katika hilo. Mimi nilianza mihangaiko na kutafuta exposure tangu niko first year, mpaka namaliza chuo nilishazunguka nchi za...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Hivi Mahakama ni Kisutu tu?

    Katika mfumo wa mahakama hatuna kitu kinaitwa mahakama ya Mkoa. Tuna Mahakama ya Hakimu mkazi (Resident Magistrate Court). Kuna historia ndefu ambayo ilipelekea kuwa na mahakama hiyo but before that tulikuwa na mahakama ya wilaya ambayo mpaka sasa bado ipo. Kwa hapa Dar kuna mahakama za hakimu...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Viwango vya mshahara Maxmalipo co ltd

    It's good to share experiences hasa sisi ambao hatuna mtu wa kutubeba kwenye hizi fursa. Huwezi jua wapi tunaweza kutana
  13. L

    JamiiForums Tanzania nilivyoliwa tunda!

    Ila sikucheki mkuu maana haya mambo kwa sisi wengine yalipita mbali. Mtu unaogopa mabinti as if ni dangerous species. But ilisaidia kujenga maadili ya jamii
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbarali atuhumiwa kufukia pembe za ndovu eneo lake la uwekezaji

    Mzee, Samahani naomba kujua kama wewe ni mwanasheria au you have skills in laws? Kumkuta mtu na vitu haitoshi kufanya kesi iwe nyepesi
Back
Top Bottom