Recent content by Levi isaya

  1. L

    Tunawachanganya watoto kuhusu East Africa

    Wana jf jana mtoto wa kaka yangu aliniuliza swali je east africa kuna nchi ngapi? nikamjibu tatu nazo ni tanzania,kenya na uganda.akaniambia nimekosa swali akasema east africa kuna nchi tano nazo ni tanzania,kenya,uganda,burundi na rwanda nikamuuliza ndio mlivofundishwa shuleni akasema ndio,lkn...
  2. L

    Mi ni mhanga wa nyumba nitawezaje kukata rufaa

    mkuu hapo umenena maana hawa watu wananijibu kunya tu mi nataka ushauri tu jinsi ya kuandika barua ya madai wao wanapolomosha maneno ya ajabu mi nishakosea najuta kweli nimekosea ndo maana naomba ushauri jinsi ya kuandika barua ya rufaa
  3. L

    Mi ni mhanga wa nyumba nitawezaje kukata rufaa

    Ucwe mkali kaka ni ivi baada ya kuitaka nyumba wakaja kupiga tathmin ya iyo nyumba na kuchanganua wakitumia wataalam wao wa vipimo na kukuta iyo nyumba ina kiasi icho.so nipe ushaur kaka
  4. L

    Mi ni mhanga wa nyumba nitawezaje kukata rufaa

    Mwana jf mm na tatizo ambalo nafikiri wana siasa wameingiza mikono yao ili wanihujumu,mm nina nyumba yangu ya vyumba sita mitaa ya G/mboto, manispaa inataka kunitoa ili kupisha utanuzi wa hospital. wamenilubuni wanasiasa na manispaa wamenipa milion 25 bila kiwanja ili nitoke, nimekubali shingo...
  5. L

    CUF wapanga kumng'oa Jery Silaa 2015

    Wanachama wote wa cuf leo kuna mkutano mkubwa hapa gongolamboto mwisho mahali alipozaliwa, na kukua na mpaka ss anakaa huku, meya wa ilala, lengo ni kumwaga uzahifu wa meya huyu ktk kutelekeza sela za ccm. Kwan ameshindwa kabisa.mfano alihaidi kujenga ofisi za ccm huku mpaka leo hajajenga na...
  6. L

    Clouds FM wanawaibia Watanzania kwa kutumia Ujumbe mfupi wa simu

    Ni kweli kabisa hata mm walinikata 150 baada ya kunitumia sms ya kudanlod show ya rick rose ya fiesta ya mwaka jana.da nililaan kinyama ikizingatia nilitoka kununua vocha ya jero ili nijiunge na cheka ya 500, ikabida kulazimika kujiunga na cheka ya 300 bila hata sababu ya msingi.
  7. L

    Clouds FM wanawaibia Watanzania kwa kutumia Ujumbe mfupi wa simu

    ni kweli kabisa mwana m mwenyewe walinikata 150 ivi ivi nilinung'unika balaa alafu nilikuwa nimetoka kuweka salio la mia tano ili nijiunge na cheka ya 500, da ikashindikana ikabidi nijiunge na cheka ya 300 yani bila hata kupenda
  8. L

    Kauli ya Nape ni kauli ya kuiogopa CHADEMA

    Mmmmmmh mi nahic alikuwa ametoka kulala
  9. L

    Mwenyekiti wa CHADEMA, wabunge Lissu, Msigwa, Sugu, Silinde washikiliwa polisi Iringa!

    Kazi ya policcm iyo anataka na yy aende makao makuu
  10. L

    Mwenyekiti wa CHADEMA, wabunge Lissu, Msigwa, Sugu, Silinde washikiliwa polisi Iringa!

    hata mm cjui ila nathani walikusanya watu wengi
  11. L

    Arusha: Wanafunzi Chuo cha Uhasibu kurudi chuoni kwa huruma za Wakuu wa Wilaya...

    Acha ujinga ww umeishia lasaba unataka kuchangia mada isiyo kuhusu
  12. L

    Membe kugombea urais mwaka 2015 iwapo...

    Acha ubaguzi wa kimikoa ww pimbi au chimbi binamu yako
  13. L

    Pigo jingine kwa JK: Mzee Mwinyi apigilia msumari suala la kuchinja

    Kaka unatisha lema hakukosea kusema rais kikwete ni mdini
Back
Top Bottom