Clouds FM wanawaibia Watanzania kwa kutumia Ujumbe mfupi wa simu

TCRA hakuna kitu chif,hilo ni chaka la wanyonyaji

Unajua sisi watanzania siyo watu wakuchukua hatua unalalmika tu halafu unaishia hapo hapo na pengine jitu hilohilo likirudi kwako tena buku 10 unapokea unalipigia kura tena liendelee kukutawala!
Kwa mtu ambaye anajitambua ni kutafuta haki yako kwa njia za kisheria. Kwa mtu ambaye amekatwa hela yake bila kusubscribe kwenye hiyo service ana haki ya kupeleka malalamiko rasimi TCRA uone kama watakaa kimya! Wakikaa kimya unaruhusiwa kuwafungulia kesi hao wezi maana ni wezi kama mwizi mwingine!
Swala la kusema eti hata ukiwambia TCRA hawatafatilia ni kutokuwa na uelewa wa haki yako na hauna tofauti na yule mjomba wa Lukuredi! Watanzania kama hatutajifunza kudai haki zetu kisheria basi tutaendelea kulalamika tu na serikali itaendelea na hamsini zake maana inajua hamna hatua inayochukuliwa hata wakilalamika miaka mia!
Hebu watu walio na uelewa wa mambo wawe wa kwanza kudai haki zao kisheria ili kuwafundisha na wajomba zetu huko Lukuredi wanaopata manyanyaso hata na vibalozi vya ccm maana wao hawajua hata kama siku hizi balozi siyo mtumishi wa serikali!

Tukiwa watu wakuchukua hatua hakuna mtu atakeye muonea mtu hapa maana kila mtu atakuwa na haki sawa.

Nashauri mtu yeyote aliyekatwa hela bila kusubscribe to the service awaandikie TCRA kama hawezi kufika pale office zao ziko barabara ya samnujoma. Ninaamini hawawezi kuliachia jambo hili bila kuchukua hatua labda kama watakuwa hawana akili. Ni vizuri mleta mada amelileta hapa ili kuwajulisha na wengine lakini ni vyema ukachukua hatua zaidi kwa manufaa yetu sote. Naamini cloud na washirika wake katika hili lazima watawajibika.

Swala hili lisionekane ni pesa ndogo tu kwa mtu mmoja kukatwa lakini tukumbuke wao wamepata mamilioni mangapi? Kesi haitakuwa kati ya mtanzania mmoja na hawa wezi bali itakuwa ni watanzania wote waliokatwa hela yao na hawa wezi.
Natamani kungekuwa na watu wenye jeuri wakalipeka swala hili mahakamani ingekuwa kesi moja ya kuvutia sana na ingewafundisha wezi wengi sana wanaoishi kwa misheni town!
 
kila mbuzi hula kulingana na urefu wa kamba yake,ni wakati wao sasa.
 
Kampuni ya Clouds media kupitia makampuni yake ya clouds f.m na clouds Tv wamebuni mbinu ya kuwaibia watanzania ambao wengi hawana uwelewa mkubwa wa matumizi ya teknolojia ya mawasiliano kwani wanakutumia ujumbe mfupi unaohusu shughuli za burudani wanazozifanya kisha wanakukata hela,pasipo wewe mpokea ujumbe wa simu kujiunga na huduma hizo kiasi wanachokata ni Tsh 150.Hili suala ni very sensitive kwani nimejaribu kuwapigia simu watu wa huduma kwa wateja na kuwalalamikia wao wamesema hawajui kitu zaidi ya kunishauri nitume neno STOP kwenda number 15556 Ili kusitisha ujumbe huo ambao unaiba pesa za watanzania,suala la kujiuliza hapa ni kuwa mimi ni mwelewa wa mabo ya mawasiliano je kwa mjomba wangu aliyepo kule kijijini Lukuredi kama atakuwa anatumiwa ujumbe na hawa watu kila siku na anakatwa hela pasipo ridhaa yake hawa watu watakuwa wanatengeneza mabilioni mangapi ya pesa?.Ufuatao ni copy ya ujumbe mfupi ambao hii kampuni inautuma ovyo kwa watanzania na kuwakata hela bila ridhaa yao

"CLOUDS TV:Angalia mkali wa ngolongolo Diamond Platnumz akiwasha moto Fiesta 2012.Diamond amewakilisha Tabora, Dodoma.SIMU.TV;Bofya; http://db.tt/CXiJhfHZ "

Nakala
i)Joseph Kusaga (Clouds media Group)

ii) Makamba J (Naibu waziri)

sure!

mimi pia nimeshawahi kutumiwa mara moja, na ilibidi niwasiliane na Airtel, wakakiri ni kweli nimetumiwa ujumbe huo na nimekatwa pesa kiasi cha sh. 150. nilikereka sana, kwa sababu sikumbuki siku nilijiunga na huduma hiyo, na kusema kweli huwa sipendi huduma za namna hiyo na zaidi mimi I don't like Clouds Media.

Airtel wakaniambia nitume ujumbe wa ONDOA kwenda namba fulani (siikumbuki kwa sasa), lakini nakumbuka kuna ujumbe ulirudi ukisema. Sijajiunga na huduma hiyo
 
Unajua sisi watanzania siyo watu wakuchukua hatua unalalmika tu halafu unaishia hapo hapo na pengine jitu hilohilo likirudi kwako tena buku 10 unapokea unalipigia kura tena liendelee kukutawala!
Kwa mtu ambaye anajitambua ni kutafuta haki yako kwa njia za kisheria. Kwa mtu ambaye amekatwa hela yake bila kusubscribe kwenye hiyo service ana haki ya kupeleka malalamiko rasimi TCRA uone kama watakaa kimya! Wakikaa kimya unaruhusiwa kuwafungulia kesi hao wezi maana ni wezi kama mwizi mwingine!
Swala la kusema eti hata ukiwambia TCRA hawatafatilia ni kutokuwa na uelewa wa haki yako na hauna tofauti na yule mjomba wa Lukuredi! Watanzania kama hatutajifunza kudai haki zetu kisheria basi tutaendelea kulalamika tu na serikali itaendelea na hamsini zake maana inajua hamna hatua inayochukuliwa hata wakilalamika miaka mia!
Hebu watu walio na uelewa wa mambo wawe wa kwanza kudai haki zao kisheria ili kuwafundisha na wajomba zetu huko Lukuredi wanaopata manyanyaso hata na vibalozi vya ccm maana wao hawajua hata kama siku hizi balozi siyo mtumishi wa serikali!

Tukiwa watu wakuchukua hatua hakuna mtu atakeye muonea mtu hapa maana kila mtu atakuwa na haki sawa.

Nashauri mtu yeyote aliyekatwa hela bila kusubscribe to the service awaandikie TCRA kama hawezi kufika pale office zao ziko barabara ya samnujoma. Ninaamini hawawezi kuliachia jambo hili bila kuchukua hatua labda kama watakuwa hawana akili. Ni vizuri mleta mada amelileta hapa ili kuwajulisha na wengine lakini ni vyema ukachukua hatua zaidi kwa manufaa yetu sote. Naamini cloud na washirika wake katika hili lazima watawajibika.

Swala hili lisionekane ni pesa ndogo tu kwa mtu mmoja kukatwa lakini tukumbuke wao wamepata mamilioni mangapi? Kesi haitakuwa kati ya mtanzania mmoja na hawa wezi bali itakuwa ni watanzania wote waliokatwa hela yao na hawa wezi.
Natamani kungekuwa na watu wenye jeuri wakalipeka swala hili mahakamani ingekuwa kesi moja ya kuvutia sana na ingewafundisha wezi wengi sana wanaoishi kwa misheni town!

tatzo lako nimegundua umekalia akili yako,sasa nakushaur simama uone mbali,kwnn mtu mzma unajitoa akili hiv yule mtu wa kule kijijin anaendaje tcra,anapata wap hela yakufungua kesi?mlo wenyew wa siku unamsumbua sembuse kumwambia aend akafungue kesi,nan asiye ijuw tcra ni mara ngp wamelalamikiw lakn hakuna hatua zinazochukuliwa,usikurupuke
 
Hivi huyu Rugemarila ndie ameimbwa na Lady JD ktk wimbo Yahaya?
 
Kampuni ya Clouds media kupitia makampuni yake ya clouds f.m na clouds Tv wamebuni mbinu ya kuwaibia watanzania ambao wengi hawana uwelewa mkubwa wa matumizi ya teknolojia ya mawasiliano kwani wanakutumia ujumbe mfupi unaohusu shughuli za burudani wanazozifanya kisha wanakukata hela,pasipo wewe mpokea ujumbe wa simu kujiunga na huduma hizo kiasi wanachokata ni Tsh 150.Hili suala ni very sensitive kwani nimejaribu kuwapigia simu watu wa huduma kwa wateja na kuwalalamikia wao wamesema hawajui kitu zaidi ya kunishauri nitume neno STOP kwenda number 15556 Ili kusitisha ujumbe huo ambao unaiba pesa za watanzania,suala la kujiuliza hapa ni kuwa mimi ni mwelewa wa mabo ya mawasiliano je kwa mjomba wangu aliyepo kule kijijini Lukuredi kama atakuwa anatumiwa ujumbe na hawa watu kila siku na anakatwa hela pasipo ridhaa yake hawa watu watakuwa wanatengeneza mabilioni mangapi ya pesa?.Ufuatao ni copy ya ujumbe mfupi ambao hii kampuni inautuma ovyo kwa watanzania na kuwakata hela bila ridhaa yao

"CLOUDS TV:Angalia mkali wa ngolongolo Diamond Platnumz akiwasha moto Fiesta 2012.Diamond amewakilisha Tabora, Dodoma.SIMU.TV;Bofya; http://db.tt/CXiJhfHZ "

Nakala
i)Joseph Kusaga (Clouds media Group)

ii) Makamba J (Naibu waziri)

ni kweli kabisa mwana m mwenyewe walinikata 150 ivi ivi nilinung'unika balaa alafu nilikuwa nimetoka kuweka salio la mia tano ili nijiunge na cheka ya 500, da ikashindikana ikabidi nijiunge na cheka ya 300 yani bila hata kupenda
 
Ni kweli kabisa hata mm walinikata 150 baada ya kunitumia sms ya kudanlod show ya rick rose ya fiesta ya mwaka jana.da nililaan kinyama ikizingatia nilitoka kununua vocha ya jero ili nijiunge na cheka ya 500, ikabida kulazimika kujiunga na cheka ya 300 bila hata sababu ya msingi.
 
Wanadai wanatoa pikipiki na magari kwenye matamasha yao, lakini hakuna aliyebahatika.
kingine mkuu hata hizo points zao za ushindi ni uchakachuaji mtupu. yaani clouds media njaa ikihamia kichwani wao wanaiita ni fursa majanga haya!!!
 
Ina maana sms ikiingia kwa simu yako wanakula tsh 150?
 
Clouds wamekuja duniani kuwaibia watu hakuna chazaidi na ruge anatumia elimu yake kuwaibia wanamziki
Hayo ni Mahujumu Uchumi Kabisa,Ni ya Kupiga Risasi mpaka kufa!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom