Nimekuelewa ,ila pia kama sijakuelewa vizuri😂😂😂😂😂😂😂.
Yaani ni kwamba tangu waitwe huu ni mwezi wa pili ?au wana muda ila wanasubiri waitwe mafunzo huu mwezi wa pili? au wanasubiri mwezi wa pili huu uishe ndo waitwe?.
Ni Huzuni sema wana wanadai tuendelee kula mtoli nyama tutazikuta chini mkuu.
Ingawa watu wa psychology inatakiwa waliangalie hii, kusubir PDF si mchezo kaka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.