Recent content by Lessor

  1. Lessor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usingizi nakosa kwa ajili yake

    Nimeshamaliza kusoma comments…naombeni ushauri wa kumshauri sasa…[emoji14][emoji14][emoji14]
  2. Lessor

    JamiiForums Tanzania Hili la mishahara ya Wabunge kupanda lina ukweli wowote?

    Nasoma comments
  3. Lessor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unapoambiwa nitakupa yote na mwanamke wako hapo anamaanisha nini?

    Atakupa maelezo yote ya historia yake.
  4. Lessor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuache kuwa Watumwa kwa wanawake

    MUNGU ampe ufunuo wa Kiroho.
  5. Lessor

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna BEAT fulani hivi huwa linapigwa wakati maharusi wanaingia ukimbini huko Uingereza…nasearch jina gan kulipata Mkuu?
  6. Lessor

    JamiiForums Tanzania Daktari wa Moshi Healthy Centre ni ovyo kabisa

    Acha tu Mkuu.
  7. Lessor

    JamiiForums Tanzania Daktari wa Moshi Healthy Centre ni ovyo kabisa

    Ni Moshi Mjini Mkuu Mkoa wa Kilimanjaro
  8. Lessor

    JamiiForums Tanzania Daktari wa Moshi Healthy Centre ni ovyo kabisa

    Tumeshapoa Mkuu
  9. Lessor

    JamiiForums Tanzania Daktari wa Moshi Healthy Centre ni ovyo kabisa

    Ni Private Mkuu
  10. Lessor

    JamiiForums Tanzania Daktari wa Moshi Healthy Centre ni ovyo kabisa

    Jirani na Kanisa la Roman Catholic la Korongoni
  11. Lessor

    JamiiForums Tanzania Daktari wa Moshi Healthy Centre ni ovyo kabisa

    MUNGU atusaidie tu Mkuu.
  12. Lessor

    JamiiForums Tanzania Daktari wa Moshi Healthy Centre ni ovyo kabisa

    Hapana Mkuu. Tuliondoka bila kutibiwa tukatafuta namna nyingine.
  13. Lessor

    JamiiForums Tanzania Ni ipi logic ya kupewa hela au zawadi yoyote siku ya kuzaliwa kwako?

    Uko sahihi sana Mkuu. Nadhani ilikuwa ni vyema zaidi kumshukuru MUUMBA wako kwa dhabihu/Sadaka na sio wewe kupokea hela au zawadi. Ikiwezekana na hao wadau wako pia wamshukuru MUNGU pamoja na wewe kwa njia hiyo hiyo ili kukuombea umri mrefu zaidi na heri na fanaka.
  14. Lessor

    JamiiForums Tanzania Daktari wa Moshi Healthy Centre ni ovyo kabisa

    MOSHI HEALTHY CENTRE Daktari wa Jioni ya leo tarehe 04th September 2023 ni ovyo kabisa. Wagonjwa tumekaa masaa mawili nje tunasubiria kumuona; yeye yuko busy na marafiki zake wanapiga soga Ofisini. Kisha ukimuendea, anamuita mgonjwa wake ambaye wana appointment binafsi. Nimeshuhudia wagonjwa...
  15. Lessor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafanyiwa sexual harassment na msichana wangu wa kazi

    Tunaomba picha yake kama evidence tujiridhishe kama analipa au lah mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom