Recent content by Leslie Mbena

  1. Leslie Mbena

    Nukuu ya msemakweli Chakubanga

    NUKUU YA MSEMAKWELI CHAKUBANGA. Nikiwa kama mbobezi katika fani ya Uongozi, Master of Leadership and Management, Labda niwaeleweshe tu, hakuna mwanasiasa mwenye kuzingatia sheria, haki wala utawala bora hapa duniani,iko hivyo ukiwa Mwanasiasa chini yako yatafanyika mambo ya ajabu hadi...
  2. Leslie Mbena

    Yuko wapi Mtemi mwingine wa kupambana na Mbowe?

    YUKO WAPI MTEMI MWINGINE WA KUPAMBANA NA MBOWE!? Leo 15:15hrs 14/05/2021 Sabaya anaonekana kufanya makosa kwa sababu ya aina za siasa za Arusha, ndio maana juzi kaongea Sabaya hapa Tanzania, akajibu Godbless Lema akiwa Canada, na sababu nyingine ni "spotlight" iliyokuwepo eneo lake la utawala...
  3. Leslie Mbena

    Je, kuna ubaya kwenda kumjulia hali na kumpa pole Mama Janeth Magufuli?

    JE, KUNA UBAYA KWENDA KUMJULIA HALI NA KUMPA POLE MAMA JANETH MAGUFULI!? Kwanza nilimuona mtoto wa Hayati Rais Magufuli akisema mama yao hajisikii vizuri tangu Mzee alipotangulia. Baadae nikaona habari ya Baba Mdogo kupita Chato akielekea Kigoma na watoa habari walisema amekwenda kumjulia hali...
  4. Leslie Mbena

    Nimepata mtoto wa kiume. Je, nimuite John Pombe Magufuli?

    NIMEPATA MTOTO WA KIUME;JE NIMUITE JOHN POMBE MAGUFULI!? Leo 17:15hrs 02/05/2021 Namshukuru Mwenyezi Mungu,Muumba wa mbingu na dunia kwa kunitendea tena,mara zote nilipokuwa kwenye shida nilimuomba Mungu nikikumbuka mema aliyokwishanitendea nae hakuniacha kamwe,sawa sawa na andiko langu la tar...
  5. Leslie Mbena

    Nilikutana na chawa akimponda hayati Rais Magufuli, nikamjibu kama ifuatavyo

    NILIKUTANA NA CHAWA GEGEDU AKIMPONDA HAYATI RAIS MAGUFULI,NIKAMJIBU KAMA IFUATAVYO. Chawa Gegedu: Magufuli kaharibu uchumi na kuhurudisha itachukua miaka saba. Msemakweli: Sasa Magufuli kaharibu vipi uchumi na IMF ambao ni wazungu wakaiingiza Serikali yake kwenye uchumi wa kati!? Chawa...
  6. Leslie Mbena

    Kumbukumbu; Nitaongeza mishahara kabla sijaondoka madarakani-Rais Magufuli

    KUMBUKUMBU;NITAONGEZA MISHAHARA KABLA SIJAONDOKA MADARAKANI-RAIS MAGUFULI. Matumaini ya wafanyakazi ya kusikia habari njema za kuongezewa mishahara yaliota mbawa baada ya Rais Dk John Magufuli kusema atatekeleza ahadi hiyo kabla ya kumaliza muda wake wa uongozi, hata hivyo, hakuweka bayana ni...
  7. Leslie Mbena

    Hayati Rais Magufuli alijua kuwa maisha yake yapo hatarini?

    Imeandikwa japo kanisa linampendeza Mungu,lakini atalichukua kanisa ili mpinga kristo atawale kwa fimbo ya Chuma
  8. Leslie Mbena

    Siku 40 bila mwamba: Ulituheshimisha sisi wanyonge na masikini, pumzika kwa amani Hayati Dkt. Magufuli

    SIKU 40 BILA MWAMBA: ULITUHESHIMISHA SISI WANYONGE NA MASIKINI,PUMZIKA KWA AMANI JPM. Katika awamu ya nne ya Rais Mstaafu Kikwete kurudi nyuma hadi Azimio la Zanzibar, Matajiri na Wafanyabiashara walikuwa na Jeuri za kila aina,kwa maana walianza kufanikiwa kuifanya CCM kuwa ya Wafanyabiashara...
  9. Leslie Mbena

    Jicho la siasa: Hayati John Pombe Magufuli ndiye aliyerithi mafuriko ya Edward Lowassa. Nani tena kuyarithi mafuriko hayo!?

    JICHO LA SIASA:DAKTARI JOHN POMBE MAGUFULI NDIYE ALIYERITHI MAFURIKO YA MH EDWARD LOWASSA,NANI TENA KUYARITHI MAFURIKO HAYO!? Leo 13:45hrs 25/04/2021 Muonekano,maamuzi yao,mitazamo yao kwa taifa la Tanzania,na sampuli ya utofauti kabisa katika siasa na uongozi ndivyo vilivyowainua watu na...
  10. Leslie Mbena

    Umoja wa Mataifa (UN): Kumbukumbu ya Hayati Dkt. John Magufuli

    MWEZI MMOJA BILA MWAMBA;BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA LAMUENZI HAYATI DAKTARI JOHN POMBE MAGUFULI. Leo 10:40hrs 18/04/2021 Ni heshima kubwa sana kiitifaki katika Baraza kuu la Umoja wa mataifa kumuenzi Rais wa nchi aliyefanya mambo makubwa kwa nchi yake lakini akatutoka akiwa Madarakani,kikao...
  11. Leslie Mbena

    MAGUFULISM: Falsafa ya Magufuli kwenye Siasa, Uchumi N.k

    MAGUFULISM Hii ni aina mpya ya Falsafa iliyoanzishwa katika Karne ya 21 haswa mwaka 2021 kutokana na falsafa za aliyekuwa rais wa awamu ya tano wa Tanzania Dr. John Pombe Joseph Magufuli aliyeishi kati ya 1959-2021. Katika Falsafa ya Magufulism tutaangazia mitizamo ya mwanafalsafa huyu katika...
  12. Leslie Mbena

    Wakosoaji wa Falsafa ya Magufulism katika uhusiano wa kimataifa

    WAKOSOAJI WA FALSAFA YA MAGUFULISM KATIKA UHUSIANO WA KIMATAIFA. Dr. John Pombe Magufuli aliamini katika uhusiano wa kimataifa usio na chembe za unyonyaji, dharau na wenye usawa na staha miongoni mwa washirika wa Jumuiya za Kimataifa, Taasisi za kimataifa, makampuni ya kimataifa na wawekezaji...
  13. Leslie Mbena

    Mchango wa Dkt. John Pombe Magufuli nchini Tanzania na Bara la Afrika kwa Ujumla

    MCHANGO WA DR. JOHN POMBE MAGUFULI NCHINI TANZANIA NA BARA LA AFRIKA KWA UJUMLA. Dr. John Pombe Magufuli aliyehudumu kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya Tano aliheshimika nchini Tanzania, Barani Afrika na Duniani kwa Ujumla kutokana na namna alivyosimama kidete kuhakikisha...
  14. Leslie Mbena

    Hayati Magufuli tayari ameandika hadithi yake, si jambo rahisi kuifuta

    HAYATI RAIS JOHN MAGUFULI TAYARI AMEANDIKA HADITHI YAKE,SI JAMBO RAHISI KUIFUTA. Leo 11:45hrs 11/04/2021 Mzee wetu Mzee Ally Hassan Mwinyi,alisema "Maisha ni hadithi tu"ewe mwanadamu kuwa hadithi nzuri,Hayati John Pombe Magufuli yeye tayari ameshaandika hadithi yake si jambo rahisi kuifuta...
  15. Leslie Mbena

    Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mwaka wa Fedha 2019/2020

    RIPOTI YA SIEIJI; Serikali ilipanga kukusanya Trillioni 33.105 lakini ilikusanya Trillioni 31.519 sawa na 95% - CAG kama ufaulu huu ni A plus. Haijawahi kutokea Serikali kukusanya 95% ya matarajio ya kibajeti. Kumchafua kote Hayati Rais Magufuli kumbe sababu kapata A. Dunia ina mambo sana...
Back
Top Bottom