Recent content by Lepanto

  1. Lepanto

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mdudu kunguni (bedbugs) na jinsi ya kumuangamiza

    Hawa wadudu wana akili kweli. I think sumu ya wadudu iitwayo fiprofam (haina harufu ila ni sumu) ikipigwa sehemu husika (kingo za kuta, kitanda, shelves watateketea tu). Care should be taken kuepusha madhara kwa binadamu.
  2. Lepanto

    JamiiForums Tanzania Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Maeneo/ vyumba ya kuabudia yapo kwa kila college kwa mathehebu yote. Utaratibu uliopo uendelee hivyo hivyo. Kujenga makanisa/misikiti eneo la serikali si vema.
  3. Lepanto

    JamiiForums Tanzania Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    RC wanajenga parokia nje ya UDOM. Si kwamba walishindwa kusimamisha majengo ndani ya UDOM. Madhehebu mengine wajifunze.
  4. Lepanto

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku mazao ya uhandisijeni(GMOs) nchini

    Yaani kwa kweli naipongeza serikali kwa hatua hii. Kuna watu wachache walikuwa wanasifia hizi mambo kwa malengo tu waendelee kupata fedha za miradi toka kwa wahisani. Tanzania bado hatuna weledi wa kudeal na GMO. Bado tech yetu ni ndogo. Tukijiingiza kichwa kichwa mbali na madhara...
  5. Lepanto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye makalio makubwa ni kwa ajili ya wanaume masikini, wanaume matajiri tunapenda English Figure

    dada zetu wa kuleeeee pitieni hapa
  6. Lepanto

    JamiiForums Tanzania Julius Nyerere: Tunao wanasiasa wana tabia za kimalaya malaya, heshima yao inauzwa na ina bei (mercenary)

    So it means we can have mercenary politicians
  7. Lepanto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Mume wa wifi yangu amempa mimba dada wa kazi nyumbani kwangu; familia imevurugika

    kweli simama nae. Alijitahidi kubana ila kwa huo mshiko lazma angeachia tuuu.
  8. Lepanto

    JamiiForums Tanzania Picha ya siku: Maisha lazima yaende kama kawaida,tazama wana Ukara

    Ilipinduka up down within seconds abiria wakashindwa kutoka. Naimani ingezama taratibu asingekufa mtu.
  9. Lepanto

    JamiiForums Tanzania Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Nilisikia konda wa basi akitoa matangazo kwa abiria wake kuwa wale wasiokuwa na ticketi waingie ndani ya basi wakatiwe, na Kila abiria achimbe dawa kabla basi halijaondoka as dereva akishaondoa gari hasimamishi.
  10. Lepanto

    JamiiForums Tanzania Hivi vidonge ndani ya chupa za chai nini kipo nyuma yake? TFDA, TBS zatoa ufafanuzi

    Ujinga mwingi unaandama watu
  11. Lepanto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi maex huwa wanaachana?

    Nimekusoma, na ndio mana upstair upo vizr sana, huna stress za kijinga jinga.
  12. Lepanto

    JamiiForums Tanzania Je, miaka 7 bado ni umri sahihi kumuanzisha mtoto shule ya msingi?

    huyo akitoboa fm 4 ni bahati na sibu. Na hivi msingi anaishia la sita jiandae kupokea sufuri hapo bdae
  13. Lepanto

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya benki ni wizi uliokomaa, nimetozwa riba ya 81% kwa miaka 6

    kumbe una abc za haya mambo
  14. Lepanto

    JamiiForums Tanzania Ziara yangu ya siku 6 nchini Korea Kaskazini: Tanzania hakuna udikteta

    halafu ukute ni ke dah!
  15. Lepanto

    JamiiForums Tanzania Polisi aliyemkodi mwenzake ili amtie mimba mkewe, amfikisha mahakamani kwa kushindwa kumtia mkewe mimba

    Maisha yana changamoto kweli kweli. Tuna haja ya kumshukuru Mungu sana kwa hali yoyote ile tuliyonayo.
Back
Top Bottom