Over the counter(OTC) ni financial instruments ambazo ni negotiable and kuna kuwa na right and obligation ya kununua na kuuza mfano forex, interest derivatives na kama sijakosea pamoja na swaps and forwards
Nikipiga starter gari linawaka then linazima nikijaribu tena linawaka vzuri ila nikizima nikapiga starter hilo tatizo linajitokeza na dashboard iko clean pia after service gari limeoshwa
Msaada wana jamvi leo nimetoka kufanya service ya gari sasa fundi alidisconect battery a badae akairudisha ila jioni hii nikiwasha gari linajizima lenyewe ni subaru forester
Nahitaji mwanamke ambae atakuwa mchepuko niko tayari kuwa nampa hela ya mtumizi 500k kila mwezi awe na vifutavyo
*mweupe mwenye tako
*awe anajua mapenzi
*awe mrefu na pia ajue kuendesha gari
Habari za Mchana wadau.
Msaada wenu, nina milioni15 niko Dar es salaam nataka kuanzisha duka la kuuza vifaa vya umeme pamoja na plumbing naomba kujua vifaa gani vinatoka sana pamoja na changamoto za hii biashara.
Mitandao ya simu Risk ni kubwaa sana ya kupoteza hela na kwa mtu mwenye hela na anajua maana ya hela huwezi kuweka savings zako labda 10M kwenye simu that will be ridiculous and very Risk
Hujui chochote kuhusu Banking sector kwa last year CRDB ilikuwa ya pili angalia Bank kama stanchart ana branch4 tuu lakini katengeneza 38bln shilings na wewe una branch zaidi ya 150 umetengeneza 112bln sasa kwenye ROI nani ana competitive advantage
Jibu hoja unasema unatuzidi uchumi mara mbili wakati juzi tuu IMF imekupa onyo kuhusu Deni lako la ndani na wamesema ni dhahiri mtashindwa kulipa pensions ndani ya muda mfupi
Wacha kuwa mpumbavu wewe unasema una uchumi mkubwa kuliko jirani yako wakati hata kufanya development infrastructure ya $1.9 billion huwezi na unasema vipi una uchumi mkubwa wakati unaelekea kushindwa ku service deni lako hizi Data mnazopika ni mbaya sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.