Recent content by Leonardo Harold

  1. L

    JamiiForums Tanzania Lamine Yamal apewe Balon D'or yake. Ni zaidi ya Ronaldo, Messi, Neymar na Gaucho

    unamjua "prime messi" ? prime gaucho? wewe umeanza ushabiki 2020 , na gaucho umemuona kwenye vi clip vya youtube. hao walikua watu haswa, na wenye consistence ya miaka. wamefanya makubwa na wameshinda sana. Yamal ni mzuri sana lakini kwa kizaz chake, akaze afike mbali zaidi maana hata kiwango...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kwa Mkapa kulifungwa kwa matengenezo ya Bilioni 30, CAF imehamisha fainali Zanzibar. Tulipohoji tulionekana wachochezi, acha tujifunze kwa uchungu

    ni huzuni kuona bilion 30 imeishia kupaka tu rangi, kubadili viti na lile li screen. ila pitch ni ile ile. hv tz nani aliwalaani mpaka mnaipenda serikali ya ccm mpka leo.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Brain-teasing political question: Je, Mbowe akienda CHAUMMA na G55 na kuwa Mwenyekiti. Unadhani upepo wa umati wa watu mikutanoni utabadilika?

    kwamba mbowe ataisaidia ccm kupambana na chadema ?! duh hz biashara za siasa ni kiini macho. kwahyo mission ya mbowe ndani ya chadema imeisha sasa atatoka hadharani na kuonesha rangi zake zote kuwa alikua mtu wa system tangu kitambo?! embu tusubiri tuone.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mbunge haoni umuhimu wa quadratic equation na periodic table

    anadhan madaraja yanajengwa kwa visomo na maombi
  5. L

    JamiiForums Tanzania Manara ni limbukeni wa mapenzi kitakachomkuta kwa Zaiylissa asiseme hatukumwambia

    UZI UMEFUFUKA, kweli tusikilize na watu, tusijiamini sana. mwanamke pekee wa kutamba nae ni kama umeoa bikra, ila ukikuta kilometa zinasoma basi nenda kwa step maaana wapo wanaomjua vizuri kuliko wewe.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Roho Mtakatifu aliwahi kunitembelea chumbani kwangu

    AMEN MTUMISHI
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kama unaamini katika hiki.."Roho za uchawi...Roho za umasikini...Roho za mauti ...Mikosi na laana" jua wewe ni Gullible of the gullibles

    ni kweli sio kila anayezingua kwenye jambo flani maishani ni kulogwa, au ni roho au pepo linamkwamisha, wengine ni njia mbaya zilizomkuza, au maamuzi mabaya aliyochagua, pengine kwa ushawishi au kwa ujinga wake n.k ila kuna watu wanahangaishwa na maroho kweli, uchawi upo na hvyo unaweza kulogwa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mkwakwani mbona kama iko vile vile hata baada ya matengenezo

    bilion 30 za matengenezo, halafu baada ya mechi moja na kamvua kadogo, uwanja unafungwa tena kupisha matengenezo, kweli CAG alikosea, matumizi yasiyo na tija ni zaidi ya aliyotutajua. hivi mnajua bilion 30 zingeweza kuajiri walimu wengine wangap? shule je, hospital je? uchizi sio lazma kuokota...
  9. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askari watawanya Watu mkutano wa CHADEMA Songea, mabomu ya machozi yarushwa, Polisi wawabeba Heche na Lema

    utawala uliofitinika, ila hakuna mtu alikua na nguvu, tena jeuri kama JIWE, ila leo yuko wapi? Mungu humuweka hai yoyote na humtwaa yeyote, MAMA na serikali yako tendeni haki, dumisheni upendo kwa mnaowaongoza,Mungu hashindwa kukunyakua kama utazidisha maonevu kwa watu wake. mada za kisiasa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania CCM mnataka mpewe nini ili muwe Imara?

    kabla ya utawala kuanguka, huanzaga kuchanganyikiwa. sasa mainstream media zote hazitangazi mikutano ya chadema, wasanii wote kila mtu anaita MAMA, MAMA, MABANGO nchi nzima, kila nguo lazma iwe na picha ya mama. sasa wana hofu gani na mpiga debe lissu? hana jeshi, hana silaha, hana hatari...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Lissu, G55 ambao huwajui uko nao katika ziara na vikao, uchaguzi wa chama unaonyesha hukupata kura za wajumbe kwa asilimia 49.

    mbowe ametawala miaka 21, lissu miezi miwili mpaka sasa, tumieni common sense basi kama akili hamna, mwacheni lissu afanye kazi yake, angalau baada ya okktoba 2025 ndo mna haki ya kujadili performance, kwa sasa anapigana vita nyingi give him space kutumikia chama chake. ni haohao chadema...
  12. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nimechungulia aisee ni kweli kabisa uchaguzi mwaka huu unakwenda kusogezwa mbele (hautafanyika)

    uchaguzi utafanyika ila kibabe sana, matokeo yatakua mseto ili kubalance mambo, ila lissu, heche, lema wote watakua jela. ila utakua ndio uchaguzi wa mwisho utakaofanyika bila reforms. baada ya hapo harakati zitapamba moto, mapambano ya kisheria na nguvu ya umma, yatailazimisha serikali ilete...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Houth yafananishwa na mnyama fulani wa ajabu wa msituni. Marekani yapata kiwewe

    hizo sifa waliwahi kusifiwa HAMAS na HEZBOLLAH, ila leo hezbollah wamelegea, israel anawatukana na hana cha kufanya, leo israel anajipigia gaza anavyotaka, hamas kama panya wamejificha , gaza imeanza kuchukuliwa kidogo kidogo. marekani hawez pata hasara maana silaha ndio biashara yake, pili...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu anayejua kifanyike nini ili Mashariki ya Kati kutulie?

    Tatizo ni mdhamini wa HAMAS, ukweli ni kwamba hamas wamekua zombified, hawajali hali za watu wa gaza bali wanamtii mkuu wao anayewalisha, anayewapa silaha na anayewalipa , mwenye chuki kubwa , anayesimamia kauli ya "from river to the sea.." kauli ambaye nyuma yake ina maanisha "death to all...
Back
Top Bottom