Kamati ya Utendaji ya Yanga imepokea na kuridhia rasimu za Mabadiliko ya Muundo wa Uendeshaji wa Klabu kutoka katika Kamati ya mabadiliko Katiba na kuruhusu mchakato kuendelea kwa hatua inayofuata.
Kikao cha Kamati ya Utendaji kilichokutana jana Makao Makuu ya Klabu Jangwani, chini ya...
Simba wakishinda Leo watakua wamefuvu moja kwa moja
Angalia wanaomfata nyuma afu tabiri matokeo yao endapo mmoja akishida maana yake hawezi zifikia point za Simba na endapo wakidroo ndo watakua wameongeza zaidi Vita za wao kwa wao
Miongoni mwa mechi muhimu kwa kundi A kwa mtani wetu ni hii ya leo dhidi ya Al-merekh.
Maana baada ya mechi hii ambayo kiuhalisia ndio ya kuvunia point na kutangaza rasmi kufuzu Hatua ya robo fainali.
Ni muhimu kufanya vizuri kwenye mechi hii kwa maana baada ya mechi hii zinazofuata ni mechi...
NA COMRADE Leonard Waziri
Nancy Pelosi ni mama wa watoto watano mwenye damu ya Kiitaliano aliyezaliwa na kukulia kwenye familia yenye misingi ya kisiasa.
Baba yake mzazi mzee Thomas D'Alesandro Jr. alikuwa mbunge wa Maryland mnamo mwaka 1939-47 kabla ya kuwa Meya wa jiji la Baltimore hadi...
Na Comrade Leonard Waziri
Assalam Alaikum Mabibi kwa Mabwana Katika harakati za kuijenga Tanzania yenye Uchu wa Kupiga hatua kubwa za kiuchumi na kisiasa.
Naomba nitangulize maneno ya Waswahili, "KUISHI KWINGI KUONA MENGI"
Kupitia Msemo huu na mingine mingi ya aina kama hiyo imekua ikitumika...
HONGERENI SANA MADIWANI WA HALMASHAURI YETU YA SHINYANGA
Leo asubuhi kupitia Radio Free Afrika Matukio nimesikia Madiwani wa Halmashauri yetu ya Shinyanga mmeibua mjadala wa kupanda kwa Nafaka hususan Mahindi katika maeneo yetu ya Shinyanga.
Nimemsikia Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri Mh. Mboje...
Huo ndio ukweli wa article yangu kuwa yatafanyika maandamano na yatashinikizwa na watu wenye nafasi zao za kifedha lakini hawataathirika na vurugu zitakazotokea tutaathirika sisi wanyonge
Na: Leonard Waziri
Maandamano mara zote msingi wake huwa ni kushinikiza jambo fulani lakini shida ya maandamano ya sisi waafrika haswaa mijini huambatanishwa na mambo kadhaa ambayo nchi za nje zenye husda, Chuki na nchi husika hupitisha husda na chuki zao katika mambo hayo.
Mifano kadhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.