Recent content by Leon Pau

  1. Leon Pau

    JamiiForums Tanzania Nataka nichukue mkopo dhamana mshahara

  2. Leon Pau

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    😂Umedanganywa ndugu
  3. Leon Pau

    JamiiForums Tanzania Wakuu, msaada juu ya higher diploma

    Natamani nilijue jibu la hapa
  4. Leon Pau

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Kikao cha kusaini hati za kuondoa hoja tano za Muungano zilizotatuliwa. Sasa rasmi mafuta na gesi kila mtu kivyake

    Hivi mnafahamu lakini km hoja za Muungano zimepunguzwa Sana. Fwatilieni TBC mujue Mambo makubwa yaliyofanywa ya kupunguza hoja za Muungano == Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Tanzania zimekutana kutia saini makubaliano ya kuondoa hoja tano za Muungano ambazo...
  5. Leon Pau

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC yatoa ratiba ya mwisho: Lissu atafungia Dar, Magufuli Dodoma

    Kaskazini atakwenda.subiri umskie Polepole baadaye sa 8 atakuwa na Press
  6. Leon Pau

    JamiiForums Tanzania GE2020 EXCLUSIVE: Maswali kwa Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kutoka kwa Watanzania watumiao mitandao ya kijamii

    Habari Mh. Naomba kuuliza, endapo usiposhindwa uchaguzi huu kihalali kabisa. Je, utakuwa tayari kukubali matokeo na kusaini fomu ya kukubali matokeo?
  7. Leon Pau

    JamiiForums Tanzania Ikitokea wabunge wa kuchaguliwa wanawake wakiwa wengi kuliko wanaume, bado watateuliwa viti maalum?

    kwel kabisa,ni matizi mabaya ya fedha za umma
  8. Leon Pau

    JamiiForums Tanzania Viti Maalumu

    Jamani,naombeni kuuliza,hivi mfano ikiwa kwenye uchaguzi ikatokea wabunge wanawake wamekuwa wengi kuliko wanaume,je bado kutakuwa na viti maalumu kwa hao wanawake??? au itatakiwa sasa tuwe na viti maalumu kwa wanaume.ili kusudi kutimiliza ile 50 kwa 50.????
  9. Leon Pau

    JamiiForums Tanzania ETHIOPIA: Mugabe atoa Dola milioni 1 kwa AU zilizotokana na mauzo ya mifugo ya wakulima wa Zimbabwe

    Nayeye ni donor country siku hizi
  10. Leon Pau

    JamiiForums Tanzania USAHIHI: Kilichotokea kati ya Juliana Shonza na Wabunge wa Upinzani kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma

    only in Tanzania, wabunge wanapigania maslahi machache,wakiacha maslahi mapana ya Mama-Tanzania
Back
Top Bottom