Viti Maalumu

Viti Maalumu

Leon Pau

Member
Joined
May 23, 2017
Posts
13
Reaction score
15
Jamani,naombeni kuuliza,hivi mfano ikiwa kwenye uchaguzi ikatokea wabunge wanawake wamekuwa wengi kuliko wanaume,je bado kutakuwa na viti maalumu kwa hao wanawake???
au itatakiwa sasa tuwe na viti maalumu kwa wanaume.ili kusudi kutimiliza ile 50 kwa 50.????
 
Swali zuri mkuu. Ningependa kufahamu pia
 
Mimi huwa naonaga mwanaume mmoja anaoa wake wengi zaidi ya sita lakini sijawahi kuona Mwanamke mmoja anaolewa na wanaume wengi, sasa sijui ni kwa nini, kwa hayo ya wabunge wa kuteuliwa ngoja tusubiri
 
Back
Top Bottom