Sijui kama unaelewa equivalent
Equal - Sawa
Equivalent - Sawia
Pia jua mfumo wa Nacte (NTA) ndio utaelewa nini nasema.
Mfumo wa Nacte kwa NTA kila level ni award na ina cheti chake na ni tuzo kamili. Watu walio na NTA level 7 ni wapo kundi moja na watu wa Level 8 bachelor degree na ni sawa na Advance diploma kwenye mtaala wa Uingereza ambao tulisha achana nao.
kama umesoma Matangazo ya kazi huwa wanasema pia na Equivalent, huwa wanajua kuna watu wana tuzo ambazo zinalingana
Rejea mifano hii ya ajira.
View attachment 2155836
View attachment 2155837