Recent content by LEOM

  1. L

    Natafuta marafiki wa kuchati tu.

    Kiukweli mkuu huna haja ya kupoteza muda wa mtu kukupigia simu kwa ajili ya kuthibitisha maombi ya urafiki labda tu kama unataka simu yako ionyeshe wewe ni mtu maharufu na simu yako iko hewani muda wote ikiwasiliana na watu mbalimbali kwa maana ya( busy) ukienda buguruni au pale club ambiance...
  2. L

    Kwa wazazi: hii kitu inamsaidia nini mtoto?

    Kiukweli hii haina maana yoyote hata ukiifikilia kwa akili ya kawaida. Dawa imefungwa kwenye kamba na wala haina uhusiano na damu wala ngozi je itamponyaje mgonjwa? Ingekuwa chanjo pengine tungesema imeingia ndani ya damu kupambana na ugonjwa. Sasa hii inamlinda mtoto kivipi wakati haigusani na...
  3. L

    Ramani za nyumba/ Architect available

    Mkuu tusaidiane kama unao vijana wa kutengeneza website waambie nahitaji kutengeneza website mkuu wanipe gharama zote za kuanzia mwanzo hadi iwe hewani. Wanaweza kuwasiliana na mimi kwenye namba hii tukafanya kazi 0715972970
  4. L

    Ramani za nyumba/ Architect available

    Mkuu mimi nakuunga mkono moja kwa moja nina eneo langu huko kibaha pwani naomba namba yako ili tuwasiliane siku moja nikupeleke uangalie namna ambavyo unaweza kunicholea mjengo wa kukakaa katika eneo hilo ukawatisha walio tangulia namba yangu ni 0715972970 nipe yakwako tuchape kazi
  5. L

    Nitamuunga mkono mgombea Ubunge yeyote wa chama changu (CCM) jimbo la Ubungo kumng'oa Mnyika

    Nataka nijue kama shoza wewe ni mwanasiasa wa kweli ndani ya CCM, pia nielewe kama kweli wewe unakaa ubungo. Pengine ubungo ni kubwa ututajie mtaa gani unakaa ili tuone habari ya miundo mbinu ya maji iliyoko katika eneo hilo na tujifunze kwa miaka mingapi imekuwepo kabla ya uwepo wa mnyika...
  6. L

    Zitto akaribishwa NCCR-Mageuzi Urais 2015

    Na kama zito akitua NCCR basi ujue warundi wote watajaa NCCR kumpa support ya kuutafuta ushindi wa urais bara
  7. L

    Zitto akaribishwa NCCR-Mageuzi Urais 2015

    Sasa kwanini usishauliwe akagombee ccm si kikwete anaondoka na hadi sasa hawajapata mtu wa kusimama kwenye hicho kiti. Hii ni kama kweli ana uchungu na nchi yake na rasilimali zilizopo
  8. L

    'Mwanajeshi' aliyepiga picha na Lema afungwa jela miaka minne

    Hakuna kitu kinachoitwa kuchafua jeshi. Cha msingi na ambacho tunatakiwa kujiuliza ni kwamba mwanajeshi akiwa na gwanda haruhusiwi kupiga picha? Na kama anaruhusiwa ni picha za namna gani anazoruhusiwa?na kama hakuna huoanisho wa namna ya picha anazoruhusiwa na asizoruhusiwa basi kutabakia na...
  9. L

    Said Kubenea yuko wapi sasa?

    Kuhusu kubenea unaweza kupata taharifa zake wizara ya elimu kama kweli anasoma nje ya nchi au uhamiaji kama alikwenda kuomba viza.ila kiukweli anayejua yuko wapi atujuze make tumemiss habari motomoto za kubenea
  10. L

    CLOUDS si redio ya Kusikiliza

    kuna njama nyingi za chama tawala (CCM) kwahiyo kuna uwezekano kila kitu kikawa kinapelekwa pelekwa tu lakini sina imani kama hao wanaoshabikia kihivyo kwamba wanajua madhara yake
  11. L

    STAR WA BONGO MOVIE SAJUKI ALIHITAJI Sh. 21M tu Kurudi INDIA kwa MATIBABU zaidi...

    ki ukweli viongozi wetu kutibiwa nje ya nchi ni moja ya sababu ambazo zinafanya huduma muhimu zikosekane hapa nchini.kama wangekuwa wanatibiwa hapa kwetu wizara ingekuwa tayari imesharejesha huduma hizi kwa haraka. sasa ngoja tutaendelea kupotea tu kila siku namna hii.
  12. L

    Hivi ni kwanini wanawake wenye makalio makubwa wanapendwa sana siku hizi?

    Mimi sikubaliani na hoja hii Ni kweli mna joto na mnato lakini shughuli mnakuwaga hamuwezi japo huwa mnajitahidi kidogo. Na mbaya zaidi mnatakiwa kazi zote zifanyike ndani ya AC kali sana bila hivyo mtatakiwa kuwa na air freshener nyingi sana ndani ya chumba
  13. L

    Mke wangu kaniletea shoga yake nitembee naye!

    Pole sana mkuu Ila amini kitu kimoja kwamba majaribu yana nguvu kukushinda wewe na imani yako. Nataka nikwambie jambo siku ya leo na ulifanyie kazi kwa umakini sana. Mkeo na shoga yake wanafanya kazi moja.NGO anayofanya kazi mkeo ni sawa na NGO anayofanya kazi shoga wa mkeo. Kwahiyo wakati...
  14. L

    Exclusive: Hukumu ya kesi ya Mh. Godbless Lema iliyosomwa Disemba 21, 2012

    Ni kweli jamani tuwekeeni watu tusome tupate kujua mtililiko mzima hadi hukumu
  15. L

    Natafuta mume

    Sasa wewe kweli unatafuta mme au unataka kujua muislamu anayetafuta mke wa kuoa?
Back
Top Bottom