Pale Idara ya Vizazi na vifo yazamani ya mama kaisi, Ilikuwa na utaratibu mbovu sana uliojazwa Rushwa, Ilkuwa pale nyuma ya Bilicanas, Pale nje ya Billicanas kulikuwa na viofisi vya kitapeli vingi sana nazani vipo mpaka leo, Hivi viofisi vilikuwa vinaendesha shughuli nyingi za kizushi, Mtu...