Recent content by LENS

  1. L

    JamiiForums Tanzania Nakereka na hawa wanaotangaza ajira na kutaka experience miaka kadhaa

    Experience muhimu sana sio lazima uwe kwenye ajira ila hata xperience ya volunteer au intern au unadhani utamaliza chuo uitiwe kazi ukiwa kitandani, soma maswali ambayo ni common ya interview ndio utajua experience ni muhimu
  2. L

    JamiiForums Tanzania Fundi wa nguo za Viongozi

    Mtani Bespoke
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Bajeti ya kwanza ya Magufuli imefeli kuliko bajeti zote katika Historia

    Hivi pesa ya kulipia ndege tena cash ilitoka wapi??
  4. L

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu darasani haelewi lakini nyimbo inatoka leo kesho anaijia yote

    Ref: Ndugu husika na kichwa cha habari hapo juu. Wenu mtiifu Wasaalamu
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mwana MMU pitia hapa chini

    Inamaanisha kilichoendelea unakijua wewe
  6. L

    JamiiForums Tanzania Amerudi Analia ila walishamuoza

    Hii ilikuwa miaka kama minne iliyopita tangu nilipokutana na huyu Binti niliyempenda kwa moyo wote, Ilikuwa vigumu kumpata kutokana na msimamo wake. Baada ya mda kama miezi mi3 alikuja kunieleza kuwa kuna mwenzangu na yuko tayari kumuoa na mbaya zaidi anatumia ndugu na jamaa wa Binti ili kumpata...
Back
Top Bottom