Recent content by Lennox One

  1. Lennox One

    JamiiForums Tanzania Video: Kuna kuzaa mtoto na kuna kuzaa mtoto wa kizungu – Harmonize

    Haya ndo madhara ya kuongea vitu ukiwa too much exited,,, the only thing alitakiwa ni kusema Asante kwa kuwa anatarajia kuwa baba,,, mambo ya ku’classify sijui mtoto na mtoto wa kizungu ni ULIMBUKENI tu... aache tabia za kishamba zinamshushia credits!
  2. Lennox One

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    kinachohitajika ili kuanza ni uelewa wako kuhusu FOREX, soma soma soma!!!!
  3. Lennox One

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Nimefuatilia sana hii thread, na kiukweli nimeshawishika sana kuanza kujifunza about this great opportunity. Mimi personally nimeona ni lazima mtu utenge muda wako wa kusoma na kujifunza zaidi mbinu mbali mbali za kuweza kuwa trader mzuri. Hii ni business ambayo inahitaji umakini mkubwa sana...
  4. Lennox One

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Naomba uniadd na mm i need to know more about forex,,, nimeanza kuistudy kidogo kidogo
  5. Lennox One

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti kati ya mwanamke kutoa mimba na mwanaume kupiga punyeto?

    First of all kumbuka hata wanawake wanafanya masturbation pia! Masturbation/ Punyeto ni kitendo cha kuchezea sehemu za siri hadi kufikia mshindo (orgasm). Hii ni kwa wanaume na wanawake. Imagination ya mwanamke mzuri au mwanaume mzuri inahusika sana wakati wa tendo hili. Pia lina madhara yake...
  6. Lennox One

    JamiiForums Tanzania Wadada mlizaliwa 80's na hujaolewa huu sio muda wa kuchagua tena

    INCORRECT [emoji777] Nadhani Kila mtu ana time yake ya kuoa au kuolewa endapo tu yeye mwenyewe kwa utashi wake atajiweka tayar kwa ajili ya hilo tendo takatifu, swala la kusema kwamba umri umeenda sana so unaweza usiolewe au kuoa its a big lie,, na ndo watu kama nyie mnaozidi kuwasababishia watu...
  7. Lennox One

    JamiiForums Tanzania Nimeathirika kisaikojia nimefikisha miaka 42 sasa bado nashindwa kuoa. Kila napowaza naghairi

    Sijui imani yako ni ipi, lakini kinachokutokea ni kwamba upo spiritually connected na hao ma'ex wako ambao ni wake za watu ambao ulizini nao, kiasi kwamba you cannot move forward kwasababu bado still una attachment nao spiritually,,, what you need to do find the best way according to your faith...
  8. Lennox One

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wamekua wadhaifu sana kitandani?

    Hii ishu now days it's more psychological, mara mnaita wanaume vibamia sijui, mnawaondolea comfidence kabisa na kujiona hawana thamani. Pia poor preparations kabla ya tendo lenyewe. Ila pia kwa wanaume mazoezi ni muhimu ili kuweka mzunguko wa damu ukae vzr. Kwa wadada msikariri lazima mtu...
  9. Lennox One

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya naweza kuchukuliwa DIT kwa course ya bio electrical engineering?

    Yes, possibility ya kupata ipo! Karibu DIT
  10. Lennox One

    JamiiForums Tanzania Je, ni Application gani inaweza kufanya hii kazi?

    Sijawahi ona remote application inayofanya kazi kwa umbali huo unaosema wewe. kinachowezekana ni system ambayo ni GSM based inayoweza kufanya hiyo kazi ya kuswitch on and off,, change channels hata ukiwa mkoa mwingine it's very possible. Lakini remote applications nyingi zinakua limited na...
  11. Lennox One

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kwa Flora (Mbasha) kufunga ndoa ya pili

    Baadhi yetu tunajua sana kujudge watu,,, that's her life ndo kaamua iwe ivyo... ww endelea kusoma biblia ikukomboe,,, usihubiri injili ya kumsema mtu kwa vile kakosea sasa iv badala yake ungepiga goti kumwombea ndoa yake ikae sawa kipindi kile cha misukosuko. Tuache unafiki,, kila mtu awe busy...
Back
Top Bottom