Recent content by Lennovo core i5

  1. Lennovo core i5

    JamiiForums Tanzania Naelekea Iraq kuchunguza kambi za kijeshi zilizolipuliwa na Iran

    Unataka ushahid upi ili uamini nipo USA
  2. Lennovo core i5

    JamiiForums Tanzania Naelekea Iraq kuchunguza kambi za kijeshi zilizolipuliwa na Iran

    Hujaelewa ndugu, sisi hatuendi kuchunguza ajali ya ndege, tunaenda kuchunguza milipuko
  3. Lennovo core i5

    JamiiForums Tanzania Naelekea Iraq kuchunguza kambi za kijeshi zilizolipuliwa na Iran

    Mkuu acha dhihaka na roho ya mtu
  4. Lennovo core i5

    JamiiForums Tanzania Naelekea Iraq kuchunguza kambi za kijeshi zilizolipuliwa na Iran

    Kuna team maalumu imeundwa tupo mchanganyiko, Mimi nipo kitengo cha maafa
  5. Lennovo core i5

    JamiiForums Tanzania Naelekea Iraq kuchunguza kambi za kijeshi zilizolipuliwa na Iran

    Watanzania wenzangu niombeeni, Nawasihi nioombeni pia tuombeeni team nzima tunaoenda kutathimini matokeo ya shambulio la Iran kwenye kambi za kijeshi. Nitawapa idadi kamili ya madhara na vifo vilivyotokana na shambulio hili. Niombeeni narudia tena niombeeni. Familia yangu ipo njiani kurejea...
  6. Lennovo core i5

    JamiiForums Tanzania Visima vya mafuta vya Lake Oil, Kigamboni vinateketea kwa moto

    Wewe unazima mkaa sio moto, naomba usiulize swali lingine naenda kuchunguza kambi za marekani zilizoshambuliwa na Iran ili nilete taarifa kamili
  7. Lennovo core i5

    JamiiForums Tanzania Kama hakuna Wamarekani waliouawa katika mashambulizi ya makombora ya Iran, basi Marekani haitokuwa na haja ya kujibu mashambulizi

    Mkuu hapa nimeambulia "Asad" pekee, huko kwingine ni kama nimepita tu
  8. Lennovo core i5

    JamiiForums Tanzania Nimetubu ila doa la dhambi hii linanitesa sana

    Ndio, yy n nan a**re wenzie yeye asi**rwe
  9. Lennovo core i5

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta ndugu zangu. Je, nilichokifanya ili kumsaidia Bwana harusi nilikuwa sahihi?

    Hii ni chai bila vitafunwa, pia ni hazina sio hadhina
  10. Lennovo core i5

    JamiiForums Tanzania Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

    Kwa hiyo mkuu asiyejua kingereza maanayake yeye ni kilaza? Kwa hiyo ukijua kuongea na kuandika kingereza tu unakuwa mwerevu kuliko wote
  11. Lennovo core i5

    JamiiForums Tanzania Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

    Huo ndo ukwel, tunaabudu kingereza, Ndalichako ni professional wa hisabati, sasa hapa kuna mtu anakomalia ndalichako ajue kingereza. Tuache utumwa
  12. Lennovo core i5

    JamiiForums Tanzania Kitete Hospitali Tabora wameniulia mtoto wangu kwa uzembe

    Huu mwaka umeanza na Wizara ya Afya. Mloganzila haijapoa Leo ni Tabora. Ummy amka ufanye kazi, tutakufa wote
  13. Lennovo core i5

    JamiiForums Tanzania Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

    Kukariri ni kubaya sana, tena sana endelea kukomaa, nikuulize swali na nafsi yako ikusute wewe na kingereza chako umemzidi nini ndalichako?
  14. Lennovo core i5

    JamiiForums Tanzania Baraza la Congress la Marekani laiandikia Ikulu ya Tanzania kuwa hawatasita kuichukulia hatua Tanzania kwa yanayoendelea nchini

    Ha ha ha ha haaaaàaaaaaaaaa utumboooooooooooo, na bado mtanyoka tu, hizo signature zenyewe utumbo. Kaza baba kaza huku watu wanatafuta mlango wa kutokea
Back
Top Bottom