Ni kweli kuna rafiki yangu kaitwa kwenda kununua ng'ombe kwa bei rahisi.
Anasema kaambiwa bei ya mmoja ni chini ya 50,000(elfu hamsini!).
Jamani hii inatisha.
Wadau angalieni haya mauaji ya kimbari kwa mifugo huko Ngara.
Inasemekana wenye mifugo wamegoma kutoa rushwa as a result jamaa wa wanyama pori wakaamua kuwafanyia kweli,nchi hii bwana.
Imeelezwa mwandishi wa habari kafukuzwa asiripoti hili janga.
Ng'ombe wamewekwa ndani ya old borrow pit...
Nyarandu check ukatili wa askari wako wa wanyama pori kwa mifugo huko mkoani Kagera.
Haya ni mauaji ya kimbari kwa wanyama.
Sijui haki za wanyama ni zipi na je kuna shirika la kutetea haki za wanyama.
Sijawahi kuona kitu hiki, nimetumiwa picha hizi na mdau wa habari toka huko Ngara Kagera...
Nimetumiwa picha hizi na mdau alikuwa kwenye research ya nutrition mkoani Kagera kakutana na ukatili wa ajabu dhidi ya mifugo unaofanywa na askari wetu wa wanyama pori eti kisa wamekutwa maeneo ya pori la akiba.
Inasemekana hawa ng'ombe wamewekwa ndani ya shimo lenye tope maeneo ya Rusumo...
In actual fact, huyu waziri Nyarandu uwezo wake ni mdogo kuweza kuhandle issues na problems za wizara hii.
Na problem yake kubwa anapenda cheap popularity.Inajidhihirisha tangu akiwa junior minister.
Huyu wakati wake wa kuwa full minister ulikuwa bado ila kwa urafiki na mkuu wa kaya yakatokea...
Hili jembe la Africa tuache chuki zisizokuwa na maana.
Personally nimetembelea nchi yake on official business mtu asikudanganye jamaa wameibadilisha sana nchi yao.Actually naweza kusema wanakimbia wakati tutembea na hawana natural resources zozote uki compare na zetu.
Jamaa ana vision kubwa...
[Jamaa wanatuona watu wasio makini na very slow kuchukua uamuzi,mtu asikuongopee hawa jamaa wako fast kupita maelezo when it comes kwenye business.
Sisi tutakalia kulalamika tu wakati jamaa wanachupa,tuache uswahili TUKANYAGE TWENDE.
Mch.Msigwa alishasema bungeni kuwa Profesa anasimama kuchangia huwezi kutofautisha na mtu wa darasa la pili.
Hawa academician wengi wako hivyo,siasa hawaziwezi.
Kiustaarabu namwomba Prof afute kauli kuwa hana mtu wa kupoteza kuongea na waTZ juu ya gesi, yeye atapita ila waTZ watakuwepo siku zote.
Hili gazeti siku hizi ni la udaku.
Wandishi wake ni wababaishaji tu,labda kuwafurahisha masters wao.
Huu cooperation ya Kenya, Uganda, Rwanda, Ethiopia na South Sudan ipo kibiashara zaidi.
Hii ni block nzuri ya kibiashara tusijidanganye, hii SADC haina umuhimu kwetu hata kidogo wenyewe tunaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.