Recent content by Lengoitoi

  1. L

    Mbatia akimbiwa na wanachama Jimbo la Vunjo

    Mbunge ni kiungo muhimu katika hamasa za maendeleo.......hivyo ni lazima awe kichocheo cha maendeleo kwa watu wa jimbo lake. Jamaa hajawah kuja kushukuru hata kabla hajaugua.
  2. L

    Wanaume mlioko kwenye ndoa humu mitandaoni mjiheshimu

    Hivi wewe mwanamke anadai kupata mwanaume mitandaoni bado unataka apewe heshima? Wenzie wabatutoa jasho huku mitaani yy anashinda mitandaoni kututa wanaume? Hilo jina linamfaa sana yy na wenzie wenye tabia kama hizo.
  3. L

    Wanaume mlioko kwenye ndoa humu mitandaoni mjiheshimu

    Na wewe acha UMALAYA,unatongozwa mitandaoni unakubali hujioni ulivyo mteremko. Mjinga kabisa wewe,kweli wewe MAJARUBA hayana maji. Malaya wahed.
  4. L

    Mbatia akimbiwa na wanachama Jimbo la Vunjo

    Yeye fedha za mfuko wa jimbo anatumia kufanya nini?
  5. L

    Mbatia akimbiwa na wanachama Jimbo la Vunjo

    Mimi ni mkazi wa Vunjo,kijiji cha Matala,yaani tunajuta kumchagua huyu jamaa......maji ni shida,barabara hazipitiki,tunamkumbuka Babu hadi machozi yanatutoka. Tunatamani uchaguzi urudiwe hata kesho tumnyooshe huyu mwana Kawe aliyekuja kujificha huku migombani. Mda utafika tu.
  6. L

    Wake zetu punguzeni kelele majumbani

    Nashukuru sana........cku njema pia.
  7. L

    Wake zetu punguzeni kelele majumbani

    Mkuu hapo nimeomba samahani kwakutumia neno"HAYA MAJITU",ambapo kuna mdau alinionya kuwa co neno zuri kulitumia kwa hawa viumbe dhaifu. Nielewe,haijaathiri udume wangu kwa namna yoyote ile.
  8. L

    Wake zetu punguzeni kelele majumbani

    Hawa dawa yao ni kipigo tu,yaani unamkosakosa shoka la uso halafu unaenda kitaa unarudi saa 3 unamkuta mpolee.
  9. L

    Wake zetu punguzeni kelele majumbani

    Nataka nimshauri amtoroke aende Kenya kidogo coz ni mchaga wa Rombo na Kenya ndo kimbilio lao[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  10. L

    Wake zetu punguzeni kelele majumbani

    Mpole sana........ukimuona mwenyewe utamuonea huruma aisee
  11. L

    Wake zetu punguzeni kelele majumbani

    Ckutukani,mimi ndo najitukana. Narekebisha,"HAWA WATU". Samahanini wadada wote hapa mjengoni.
  12. L

    Wake zetu punguzeni kelele majumbani

    Yaani kuna wa jirani akianza kuongea 12 jioni ni hadi 12 asbh......mume akiwahi balaa,anaambiwa leo malaya wake kamtimua,akichelewa ndo usiseme......jamaa yuko dilema kakondeana tu. Haya makitu wakati wa uchumba yanafichaga makucha,ukishaweka ndani akaanza kuiita tv yako yangu,kitanda...
  13. L

    Ona hii Katuni ya gari kupoteza uelekeo

    Nimeyasoma sana,wanaoona gari imepoteza muelekeo ndo hao niliowataja hapo juu.......gari ndo ina tafutiwa njia yake. CCM DAIMA PANGA LA ZAMANI MAKALI YALEYALE.
  14. L

    Anapinga kuwa hajatoka kwenye ubavu wa mwanaume

    Mwanaume kaumbwa na Mungu.....Hawa akafanywa......na ndo maana hawaishi kufanywa.
  15. L

    Anapinga kuwa hajatoka kwenye ubavu wa mwanaume

    Mpumbavu kabisa,wanawake wanasahau haraka sana......yaani ameshasahau kuwa ALIFANYWA kutoka katika ubavu wa mwanaume?. Hiyo VAGINA kaikuta hapo tena kwa bahati tu. Halafu kuna mijitu inakomenti,"kweli lakini"......,nyani kabisa.
Back
Top Bottom