Ina maana umeshindwa kusoma hayo maneno ya kwenye katuni?au ndio mahaba niue yamekupofusha?Lazima wapuuzi na waliozoea kupelekwa wasikokujua waone gari limepotea njia........awali hawakujua walipo na waendapo.
Magu kakamata usukani anawarudisha kwenye njia ya lami na kuwatoa porini mlikopelekwa mkiwa mmefungwa macho na vitambaa vyeusi vya wizi na ufisadi,umalaya,ulevi na ufirauni achilia mbali kujibadili majina,mnamuona kakosea njia.
Mzee simama uliposimama........naamini kunacku watakuelewa.
CCM DAIMA
PANGA LA ZAMANI MAKALI YALEYALE.
kweli aisee tumuombee mzee wetu, maana njia kubwa hyo imejaa matope ( rushwa , maonezi, ukandamizaji, n.k) na mzee anapita sehemu mpya katika swala zima la kuinyoosha nchi kwenye picha hajakosea ila wajinga na wadanganyika wanaona kama kakosea anharibu kukwepa maovu yanayoiharibu tz, Mwisho atafika tu.Lazima wapuuzi na waliozoea kupelekwa wasikokujua waone gari limepotea njia........awali hawakujua walipo na waendapo.
Magu kakamata usukani anawarudisha kwenye njia ya lami na kuwatoa porini mlikopelekwa mkiwa mmefungwa macho na vitambaa vyeusi vya wizi na ufisadi,umalaya,ulevi na ufirauni achilia mbali kujibadili majina,mnamuona kakosea njia.
Mzee simama uliposimama........naamini kunacku watakuelewa.
CCM DAIMA
PANGA LA ZAMANI MAKALI YALEYALE.
lumumba haogari imeacha njia lakini watu wamekomaa tu
Best people kumshtua kama anaacha njia ni wasio.kwenye hatamu ya gari. . .
Kuna watu sio hawaelewi. Ila wanajifanya hawaelewi. Hata picha hawaoniIna maana umeshindwa kusoma hayo maneno ya kwenye katuni?au ndio mahaba niue yamekupofusha?
Watu wa Lumumba ni vilaza sana mkuuKuna watu sio hawaelewi. Ila wanajifanya hawaelewi. Hata picha hawaoni