Moringe Sokoine1
Member
- Sep 5, 2015
- 80
- 73
NCCR Mageuzi imezidi kupata pigo baada ya kukimbiwa na wanachama wake wapatao 52 akiwemo diwani wake wa kata ya Kilema kusini ambaye alitangaza muda wowote kujiunga na CCM ajulikanaye kama Honorati Mosha maarufu kama Kawawa.
Wananchi wa Jimbo la Vunjo wamelalamika ni takribani mwaka wa pili toka wamchague Ndg James Francis Mbatia kuwa Mbunge wao lakini hajawahi kurudi jimboni humo na simu hapokei.
Wananchi wa Jimbo la Vunjo wamelalamika ni takribani mwaka wa pili toka wamchague Ndg James Francis Mbatia kuwa Mbunge wao lakini hajawahi kurudi jimboni humo na simu hapokei.