Recent content by Leney

  1. L

    Leo nimetimiza rasmi miaka 5 sijafanya mapenzi, happy birthday me

    Bora hata umempa nafasi ya kumuuliza maswali kama hayo ...nimeona watu wanaenda straight kwenye hauko mzima, etc etc but its actually very possible to stay for all those years and wala usiwe una masturbate na wala usiwe na sexual desire na ukawa bado mzima e.g demisexuals, have people even heard...
  2. L

    Leo nimetimiza rasmi miaka 5 sijafanya mapenzi, happy birthday me

    There is absolutely nothing wrong with you. Those are people tryna project their issues. YOU do YOU.
  3. L

    Group za Whatsaap Ni shidaa

    Hivi WhatsApp kuna njia ya ku transfer full Admin rights to another member? Maana nina miezi nimekimbia kwenye ma group sasa kuna moja nililitengeneza mwenyewe :lol::lol::lol: Nawawazia kondoo zangu wanavoendelea lolol shepherd kakacha, ningewezea wapi na shule inawaka moto niache kuzima...
  4. L

    Itel inajizima kila mara msaada

    Wazo la kwanza lililonijia ni account yake ya Google/Gmail kama inafanya kazi - acheki, anaweza kwenda kwenye settings -> accounts -> google account - remove account, then add it again and sync. Pia nimeona kwenye hii link wamefafanua zaid matatizo mengine kama: date settings, clearing cache on...
  5. L

    How to delete temporary files in your PC/Laptop? Does it improve performance?

    You are very right! Hua nina tabia ya kufuta temp files ila nilikua sina tabia ya kucleanup disk, sasa juzi nilikua na install Cygwin na nikawa nataka kuilink na Oracle's virtualbbox ikawa inagoma kabisa..yaani programs zangu niki run kwenye cygwin zinashindwa kufungua zile files za virtual box...
  6. L

    Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

    Pole sana H.O.E, na hongera kwa kupona, kweli Mungu ni mwema sana!
  7. L

    Hivi wanaume hawa bado wapo miaka hii?

    Walahi you made my day!!! Hahahaha
  8. L

    kitu gani ambacho kilikukuta na hutokisahau maishani mwako

    SItosahau siku bibi yangu mzaa mama alivofariki mwaka 1993..alikua anaugulia kwenye chumba chake..nakumbuka hakikua na mwanga sana (kijijini) na siku hiyo nilikua siishi kwenda kumcheki chumbani kwake anaendeleaje maana nilikua nampenda sana (Na yeye anaitwa Leney kama mimi na nilikua naishi...
  9. L

    Vita vya Tatu vya Dunia...

    Life was meant to be like this!!!! unaamka unakuta something this funny unacheka unafurahi, : )
  10. L

    Vita vya Tatu vya Dunia...

    You are one funny human being!!!! Hahahah eti akisuka weave -75000 LOL
  11. L

    Naomba ushauri jamani

    Wewe jamani usiite wenzio majini, sio vizuri
  12. L

    Nimempata Asiyebadilika...

    Hahahah, Babu (Asprin), hebu njoo umuone huyu apa ana kamiiiiiiiiing..kumbe hua kweli anafata ushauri :lalala:
  13. L

    Naombeni dua zenu my people.

    Dedication kwa baby boy wetu..the very day you came to me, my whole life became brand new Oohh baby...
  14. L

    Naomba ushauri jamani

    Dah..I feel so sad about this, you sound so frustrated, kama unaamin maandiko basi soma zaburi 32:8 "Nitakufundisha na kukuonyesha njia utakayoiendea, nitakushauri, jicho langu likikutizama", Muombe Mungu huwezi amini atakupa amani na jinsi ya kusimama tena na kukuondolea maumivu, usiweke imani...
Back
Top Bottom