Si amini kama tamko hili limetolewa na msomi maana limejaa makosa mengi sana kwa level ya chama kama chadema!!mfano tu:hai #uhai,
halafu heshima haipo kabisa :waziri mkuu # mheshishimiwa waziri mkuu
nirudi kwenye maada,inakuwaje chama kinakaa kimya almost a month kukaa kimya ikiwa mtu wao mhimu...
jana niliona kumetokea msiba wa mtoto fulani watu wamevaliaa bendera za chama sikuelewa maana yake nini na wewe mleta maada sijajuelewa hata kitogo!!acha unyumbu wewe
hata nikikuliza una kuku wangapi utasema huna hata moja japo ardhi ya tanzania ni kubwa sana na mahali pa kufugia ni pakubwa!! ulitaka CCM ikujengee kibanda cha kuku?
Aje tutampokea tu!!kama DR Slaa aliikimbia chadema mtu mzalendo atabaki huko anafanya nini?utakaa na ndumila kuwili kweli?unakuwa unajishushia heshima bure?? anywhere hivi mzee mwanakijiji yuko wapi?napendaga topic zake ?kipindi cha uchaguzi nilimwona mtu wa maana saana
Kwanza niseme kuwa ni kukosa ubunifu jinsi ya kukusanya madeni ya wanafunzi waliokopeshwa fedha kwa ajiri ya elimu ya juu!!
wafanye hivi:Kwa sababu ni sheria ya nchi kwamba kila Mwajiri NA mwajiriwa wapeleke hela kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii; bodi ya mikopo iwaendee mifuko hiyo ya Jamii...
Nafikiri kama kuna mtu Mwenye laana alikuwa JK Na lowassa!!walipongia madarakani mvua ilikata mtera ikakauka vibaya !!Lowassa akaja Na richmonduli na mvua ya Thailand!!!
Halafu wewe kama mkristu au mwislam hukutakiwa kushabikia mabaya yanayolipata taifa letu ulitakiwa kuomba Mungu atuepushie...
Wewe unamdhihaki Nani??Unamfahamu Mungu wewe?amefanya kosa gani kiasi chakuona kuwa anamdhiaki Mungu?? anayemdhihaki Mungu ni kundi linalompigia magoti lowassa Na kufikiria kuwa eti Mungu anamtendea mema pindi inapotokea wapinzani wake wamekufa!!Ni ujuha mkubwa kusema kuwa Mungu anamlinda...
Baada ya matokeo kubainika na Donald Trump kutangazwa kuwa rais wa Marekani ,California ambalo ni jimbo lenye wafuasi wa chama cha Democrats cha Hillary Cliton kimeripotiwa kutaka kujiondoa kama mojawapo ya majimbo nchini Marekani.
Kupitia mitandao ya kijamii wakaazi wa jimbo la Carlifornia...
Tb Joshua alitabiri kuwa mh Lowassa angekuwa rais Wa tano Wa Tanzania!! haikutokea !!!!juzi kaitabiria dunia kuwa Bi Clinton atashinda urais Marekani!!haijatokea!!!Inasikitisha!!
Biblia inasema nabii akitabiri jambo lisitokee nabii huyo usimwogope!!!!
wako Na wengine walitabiri kuwa Lowassa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.