Maendeleo ya vitu kwa Nassari ni muhimu kuliko utu wa mwanadamu

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,721
2,000
Maendeleo ya vitu in muhimu sana kwa mh:nasari kuliko utu wa mwanadamu,mh nasari anaunga mkono mikutano ya kisiasa kuzuliwa?anaunga mkono bunge kuzimwa?anaunga mkono ukandamizaji wa Uhuru wa habari?anaunga mkono watu kupotea wakiwa wazima?mh nasari anadhamini maendeleo ya vitu kuliko utu wa mwanadamu?
 
makokomakoko15

JF-Expert Member
Aug 11, 2016
237
250

Tulia sindano ya vichaa iingie.acha kulialia.
 
Miya

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
817
1,000
Una uhakika kayasema hayo?hivi wewe unawajua magamba kwa ufitini
 
lendomza

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
397
250
jana niliona kumetokea msiba wa mtoto fulani watu wamevaliaa bendera za chama sikuelewa maana yake nini na wewe mleta maada sijajuelewa hata kitogo!!acha unyumbu wewe
 
Soliambingu

Member
Sep 12, 2016
65
125
UNAJUA WATU KAMA WABUNGE WA UKAWA BORA WAWE WANAKAA KIMYA UNAPOMSIFIA MAGUFULI KIDOGO TU PROPAGANDA ZINATUMIKA SASA MBUNGE UKIUNGA WANANCHI SI WANAONA CCM BORA SASA WW WA NINI
 
Soliambingu

Member
Sep 12, 2016
65
125
Nasari kwa leo kakosea awe makini au anataka kuhamia kijani aelewe concept ya collective responsibility ndivyo vyama hujengwa
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
48,952
2,000
Maendeleo ya vitu in muhimu sana kwa mh:nasari kuliko utu wa mwanadamu,mh nasari anaunga mkono mikutano ya kisiasa kuzuliwa?anaunga mkono bunge kuzimwa?anaunga mkono ukandamizaji wa Uhuru wa habari?anaunga mkono watu kupotea wakiwa wazima?mh nasari anadhamini maendeleo ya vitu kuliko utu wa mwanadamu?
Umeona video akiwa ananena haya au umesoma gazeti la Uhuru?
 
  • Thanks
Reactions: BAK

chipa GM

JF-Expert Member
Jan 21, 2012
1,633
2,000
Ndo maana siku nipo Arusha niliambiwa na wazee Nasari na Lema hawapatani. Sababu ni kuwa lema anamtuhumu Nasari anatumika na anakuwa cheap sana kwa government... Leo ndo naelewa..kale kajamaa kanjanja kale..kipind flani kaliuza ubunge. Watu wa arumeru mmekosea kuchagua.
Ningekuwa mbowe ningemuita kijana, ningemwambia akanushe la sivyo chama hana..tufanye uchaguzi upya tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom