Kuna kila dalili za Lembeli kurudi CCM!

Kuna kila dalili za Lembeli kurudi CCM!

Licha ya kuwa na uzoefu na uzalendo wa kweli huyu mzee hajapewa nafasi ujumbe kamati kuu kama za kina E. Lowassa na F. Sumaye. Angekuja huku angemchalenji sana Mbowe hatimaye tungepata CHADEMA imara sana. Hawezi vumilia ubabaishaji uliopo CHADEMA!
We jamaa ubongo wako umesinyaa!
Brain atrophy
 
Huyu mzee alijiunga CHADEMA akidhani wako serious. Ukumbuke kuwa huyu mzee ni miongoni mwa wabunge wa CCM ambao walikuwa wakiupinga ufisadi kwa nguvu zote. Aliamini anakwenda CHADEMA kuendeleza mapambano dhidi ya ufisadi. Kwa bahati mbaya kwake haikuchukua muda mrefu mara baada ya yeye kujiunga CHADEMA mzee Lowassa naye akajiunga na CHADEMA. Sasa agenda ya ufisadi ikafa kifo cha mende. Sasa abaki CHADEMA kufanya nini? Hakuna tofauti kati ya Lembeni na Mpendazoe. Sio watu wa kubaki CHADEMA ambayo agenda iliyowaweka kwenye ramani wameitema kwa sababu ya kumkabidhi chama mtu asiyeipenda hiyo agenda.
You are very right
 
CDM iligeuka jiwe siku walipousaliti msimamo uliowapa sifa na wafuasi. Haitarudi kwenye mstari hadi viongozi waliobadili gia angani wawapishe wengine wataokuwa na moral authority ya kuanza kupinga ufisadi na kupigania demokrasia tena.
Ndio maana wanahangaika na operations, maana hali mbaya, kila siku wanazindua, mara ukuta, sasa wanataka kupiga watu mitama, eeee ndio maana ya kata funua, ukilemaa umevuliwa sketi.
 
Licha ya kuwa na uzoefu na uzalendo wa kweli huyu mzee hajapewa nafasi ujumbe kamati kuu kama za kina E. Lowassa na F. Sumaye. Angekuja huku angemchalenji sana Mbowe hatimaye tungepata CHADEMA imara sana. Hawezi vumilia ubabaishaji uliopo CHADEMA!

Ukijiunga CHADEMA kama huna *cash money* sahau kupewa nafasi.

Unafikiri kwanini M/kiti wa chama Taifa anapanga foleni kumpokea mjumbe wa kamati kuu ya chama, badala ya mjumbe kutangulia kumpokea M/kiti wa chama. Ni sawa na Rais wa nchi kupanga foleni kumpokea Waziri wake. Hiyo protocol inapatikana CDM pekee duniani kote.
 
Huyu mzee alijiunga CHADEMA akidhani wako serious. Ukumbuke kuwa huyu mzee ni miongoni mwa wabunge wa CCM ambao walikuwa wakiupinga ufisadi kwa nguvu zote. Aliamini anakwenda CHADEMA kuendeleza mapambano dhidi ya ufisadi. Kwa bahati mbaya kwake haikuchukua muda mrefu mara baada ya yeye kujiunga CHADEMA mzee Lowassa naye akajiunga na CHADEMA. Sasa agenda ya ufisadi ikafa kifo cha mende. Sasa abaki CHADEMA kufanya nini? Hakuna tofauti kati ya Lembeni na Mpendazoe. Sio watu wa kubaki CHADEMA ambayo agenda iliyowaweka kwenye ramani wameitema kwa sababu ya kumkabidhi chama mtu asiyeipenda hiyo agenda.
Kwanini mnapenda kutumia neno "ufisadi" hata mahali lisipohitajika? Lembeli na Lowassa nani alitangulia Chadema? Btw hebu tuonyeshe mpinga ufisadi mmoja tu ili tukuelewe, ila usijitaje wewe maana hujapata fursa ya kula!
 
Acha utahira ww ..Lowassa na Lembeli nani katangulia kujiunga na chadema ...wadanganye mapimbi wenzio wa lumumba ...kama anarudi ccm kipi cha ajabu?? Tuko imara kuliko chama chako chakavu ambacho kinapumlia mipira ya polisi ...chadema hata aondoke nani hatuwezi kuyumba ..sisi ni raia wakakamavu ..hutuwezi kuyumbishwa na upepo...achana na propaganda uchwara fisiem ww
Umejibu kikakamavu mpaka nimefurahi.
 
Arudi tu kwani CHADOMOOO kuna jipya zaidi ya uhuni tu na utapeli
 
Licha ya kuwa na uzoefu na uzalendo wa kweli huyu mzee hajapewa nafasi ujumbe kamati kuu kama za kina E. Lowassa na F. Sumaye. Angekuja huku angemchalenji sana Mbowe hatimaye tungepata CHADEMA imara sana. Hawezi vumilia ubabaishaji uliopo CHADEMA!
Mbona hujaonesha hizo dalili??
 
Aje tutampokea tu!!kama DR Slaa aliikimbia chadema mtu mzalendo atabaki huko anafanya nini?utakaa na ndumila kuwili kweli?unakuwa unajishushia heshima bure?? anywhere hivi mzee mwanakijiji yuko wapi?napendaga topic zake ?kipindi cha uchaguzi nilimwona mtu wa maana saana
 
Huyo Lembeli ni Mwanamuziki wa bendi gani wakuu?
 
Licha ya kuwa na uzoefu na uzalendo wa kweli huyu mzee hajapewa nafasi ujumbe kamati kuu kama za kina E. Lowassa na F. Sumaye. Angekuja huku angemchalenji sana Mbowe hatimaye tungepata CHADEMA imara sana. Hawezi vumilia ubabaishaji uliopo CHADEMA!
haha..tulieni DJ achangaje CD.Pumbafu,kwani chadema inawahusu nini?SI mnasema ni ya Kaskazini,sijui nini nani, kamasi litawatoka.Mtauza mbinu yenu na nchi yenu.Mlivyoamua jidanganya mtadanganyaika ila si watanzania.
 
Back
Top Bottom