Recent content by Lendo FM

  1. L

    JamiiForums Tanzania Wapi ntapata Sauna Jijini Arusha?

    Room temperature ni zaidi ya nyuzi joto 40 unapata wapi ujasiri wa kutaka muwe wawili tu,mood inakata huwezi fanya chochote meku
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Jamaa kaja na longolongo kibao,hahahaha
  3. L

    JamiiForums Tanzania Magufuli alikuwa sahihi kutokuongeza mishahara ya watumishi kwa miaka 5. Uzembe umejaa makazini

    Kuwajibika vs mshahara,mbona sioni connection mkuu,tafakari uje na nyuzi yenye ujazo
  4. L

    JamiiForums Tanzania Wazee wa night club tukutane

    Wako wangapi mjuba nikupe kampan
  5. L

    JamiiForums Tanzania Wazee wa night club tukutane

    Hahahaha kunguni kweli wewe
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa ovyo wa makutano ya Mbezi mwisho Tatizo ni nini? Tanroad

    Jamaa wanasikia story mtaani wanakuja kudanganya watu humu
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa ovyo wa makutano ya Mbezi mwisho Tatizo ni nini? Tanroad

    Mchina hana mamlaka ya kubadili chochote kwenye mkataba,hiyo ni kazi ya mhandisi mshauri na client,acha kulisha watu tango pori
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kuna la kujifunza toka SGR ya Kenya inaligharimu taifa hilo na mkopo. Inazalisha bilioni 19 uendeshaji ni bililioni 34. Walipa kodi kuumia

    Reli ya Tazara ni Standard Gauge. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kuna ulazima sheria kuhusu utumishi wa umma ibadilishwe

    Pale unapomkuta jaji anaesikiliza kesi yako ana miaka 52,hahahaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. L

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

    Mafuriko yanayotokea nchi zilizoendelea lawama kwa nani? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. L

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Home sweet home
  12. L

    JamiiForums Tanzania Huyu raia Godwin Gondwe amepata wapi ujasiri wa kuvaa sare za JWTZ?

    Hahahaaa
  13. L

    JamiiForums Tanzania Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Vipi kwa Samsung A30s
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa ovyo wa makutano ya Mbezi mwisho Tatizo ni nini? Tanroad

    Kwanini hili andiko usiwafikishie wahusika?kwann watanzania tunapenda kulalamika?yawezakuwa ukawapa hiyo idea wakabadili design na mambo yakaenda muswano,kulia lia jamii forum hakusaidii
  15. L

    JamiiForums Tanzania Nyumba yenye thamani ya Tshs. Trillion 1 hapa bongo

    Thamani ya jengo inakuwa determined na design pamoja na construction materials used,urefu wa jengo haimaanishi ndo lenye thamani kubwa
Back
Top Bottom