Recent content by lenardo

  1. lenardo

    JamiiForums Tanzania Maoni yenu kuhusu kozi ya Linguistic tafadhali

    Ipo simpo sana
  2. lenardo

    JamiiForums Tanzania Sala:Mikopo batch 2

    Mungu tutizame ss waja wako
  3. lenardo

    JamiiForums Tanzania HESLB JAMANI

    Hivi second batch inatoka Lin mwenye ueelewa anisaidie tafadhari jaman
  4. lenardo

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa namna ya kuhama kozi

    Jamani wana JF poleni na majukumu ya kila siku mimi ni undergraduate nimechaguliwa DUCE kusoma education lakini mimi sijapenda kusoma hiyo nataman kuhamia main campus ili nisome mass communication. Je nitafanya nini ili nitimize ndoto zangu Msaada tafadhali Jamani
  5. lenardo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeconfirm UDSM lakini jina langu halionekani kati ya waliochaguliwa

    Wao wamenambia kwamba nimechaguliwa na nika confirm akin nikiyaangalia Yale majina waliotoa mm cmo ad nimechoka kabisa
  6. lenardo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeconfirm UDSM lakini jina langu halionekani kati ya waliochaguliwa

    Mkuu nataka kuongeza skills
  7. lenardo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeconfirm UDSM lakini jina langu halionekani kati ya waliochaguliwa

    Nashukuruni wt kwa mawazo yenu wana jf
  8. lenardo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeconfirm UDSM lakini jina langu halionekani kati ya waliochaguliwa

    jamani nimechaguliwa kusoma degree udsm na nimeconfirm kujiunga ktk chuo hicho akini cha ajabu jina langu halipo katika list ya selected applicants katika chuo hicho nifanyeje jaman Nisaidieni jaman tafadhari
  9. lenardo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Waliokosea maombi ya mkopo 2017/2018

    It might be true Sent using Jamii Forums mobile app
  10. lenardo

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu

    Kwanin hii bod istumie mfumo thabit wa kuwawezesha wanafunzi kupata mikopo kwan imekuwa ikibadili badil utaratibu saiv wanadai wanafunzi wengi wamekosea kujaza tarifa zao bas bodi itoe majina ya wanafunzi waliokosea ili warudie kujaza tarifa zao Sent using Jamii Forums mobile app
  11. lenardo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Political arena in kenya

    Yes Sent using Jamii Forums mobile app
  12. lenardo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Political arena in kenya

    How can you speak and comment on the general political condition in Kenya after refusal of the general election by the high court Sent using Jamii Forums mobile app
  13. lenardo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna faida gani ya kupiga push up jamani?

    Duuh Sent using Jamii Forums mobile app
  14. lenardo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna faida gani ya kupiga push up jamani?

    Mwenye uelewa anielekeze jaman mm nataman kutambua advantage ya push up [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  15. lenardo

    JamiiForums Tanzania Hivi elimu ya Tanzania inaelekea wapi

    Yaaan application za loan bord mbn zinamashariti mengi sana jaman daah Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom