Sala:Mikopo batch 2

Sala:Mikopo batch 2

Kwan hiyo mikopo inatolewa kwa miujiza au bahati nasibu?
Vigezo vya kutoa mkopo vipo waz
waombaji ni 61000 bodi wanasema bajeti yao ni ya watu 30000 tu sasa hapo wewe kwa akili ya kawaida tu unaona wanaangalia wenye vigezo au ni sawa na kucheza biko
 
Kwa tusiopata tukashtaki kwa Mwenyezi Mungu
Kwa sababu fedha na mali ni mali yake...
Kwa sababu sala ni siri kati ya mwanadamu na Muumba wake hivyo
Kila mwenye kusudi iwe mzazi,mwanafunzi mwenyewe
Aliyepata,aliyekosa ajitoe hata useme neno moja
Kwa kimoyomoyo Mungu awasaidie watoto hawa wapate mikopo kama mapenzi yake Muumba...
Kijana wangu ananitia simanzi kwa kweli nipeni pole
Mungu wewe ndo tegemeo letu la kweli daima
 
Mungu atusaidie kwakwel maana hali haisomeki kabisa
 
Halafu toka watoe batch 1 wako kimyaaa!!! Vyuo ndo vimebakiza siku 5 vifungue!!! Hii shida sana! Ni vizuri watoe mapema kwa walio-confirm tayari ili watu wajipange mapema kusuka au kunyoa! Wiki hii ndo ya mwisho!!
 
kwel aisee j3 usajili unaanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom