Naomba kufahamishwa namna ya kuhama kozi

Naomba kufahamishwa namna ya kuhama kozi

lenardo

Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
15
Reaction score
2
Jamani wana JF poleni na majukumu ya kila siku mimi ni undergraduate nimechaguliwa DUCE kusoma education lakini mimi sijapenda kusoma hiyo nataman kuhamia main campus ili nisome mass communication. Je nitafanya nini ili nitimize ndoto zangu
Msaada tafadhali Jamani
 
Kwa vurugu zilizopo saiz za kutafuta vyuo utasubil...kwan wenzako at a hiyo duce hawajaipataaa...
 
Back
Top Bottom