Msaada: Nimeconfirm UDSM lakini jina langu halionekani kati ya waliochaguliwa

lenardo

Member
Sep 2, 2017
15
2
jamani nimechaguliwa kusoma degree udsm na nimeconfirm kujiunga ktk chuo hicho akini cha ajabu jina langu halipo katika list ya selected applicants katika chuo hicho nifanyeje jaman
Nisaidieni jaman tafadhari
 
Subiri watatoa awamu ya pili hii ya kwanza ishatoka so km uneconfirm hutoonekana ktk hii iliotoka
 
jamani nimechaguliwa kusoma degree udsm na nimeconfirm kujiunga ktk chuo hicho akini cha ajabu jina langu halipo katika list ya selected applicants katika chuo hicho nifanyeje jaman
Nisaidieni jaman tafadhari

List ikitoka utaliona jina lako, ni vizuri kusoma jambo kwa uhakika hili kupunguza mtafaruku.
 
jamani nimechaguliwa kusoma degree udsm na nimeconfirm kujiunga ktk chuo hicho akini cha ajabu jina langu halipo katika list ya selected applicants katika chuo hicho nifanyeje jaman
Nisaidieni jaman tafadhari
Tulia usiwe na haraka,kwani ilo jina lako halipo kwenye ile rist ya wanafunzi walochaguliwa mara mbili?au wewe ulichaguliwa apo tu?kama ni apo tu fanya uende ujue mapema na kama ulitakiwa ukoconfirm basi usiwe na shaka mambo yatakua mazuri tu,na ukiyataka ayo majina nenda kwenye web yao utayaona,
 
Wao wamenambia kwamba nimechaguliwa na nika confirm akin nikiyaangalia Yale majina waliotoa mm cmo ad nimechoka kabisa
 
Yale majina waliyotoa ni tofauti na ya kwenu, nenda ukasome pale juu utaelewa.

Naomba mnisaidie nami maana nina mdogo wangu yeye alichagua chuo kimoja tu lakini hajaandikiwa neno confirm lakini ameambiwa amechaguliwa na kwenye majina jina lake halijatoka naomba msaada wenu ndugu zangu wana jf
 
Wao wamenambia kwamba nimechaguliwa na nika confirm akin nikiyaangalia Yale majina waliotoa mm cmo ad nimechoka kabisa
Yako ipo kama hiyo apo chini?so kama ipo ivyo usiwe na presha tupo wengi na majina yatatoka tena baada ya leo mana ndo mwisho wa kuconfirm.so tarajia kuanzia kesho na kuendelea
Screenshot_20171007-074949.png
 
Back
Top Bottom