Watanzania tuko watu wa ajabu sana kama bendera fata upepo,tunaacha kufanya tathmini ya nchi yetu kwa mfano, mgawo wa umeme,pembe za ndovu,nk. Hakuna hata mmoja anayetaka kuwajibika eti mnangangana na mambo ya chadema,yanawasaidia nini watanzania,,,,,tumekalia umbea tuu,,,,,watanzania wamesoma...