Damu ikimwagika Kalenga, RCO ndie mtuhumiwa namba moja.

Kuweka kumbukumbu sawa RSO ndio katibu wa kamati ya Ulinzi na Usalama wa mkoa kwa hiyo hauwezi kumwambia RPC ndio Mkubwa kuliko RSO
 
Zote njaa na kujipendekeza... Tuendelee kukusanya ushahidi wa kuja kunyonga watu hawa baadae kidogo
 
Wakuu kwanza nimpongeze RPC Mungi kwakusimamia miiko ya kazi ya upolisi hapo Iringa,

Lakini tatizo lipo kwa huyu RCO, huyu anatumika waziwazi na ccm, kiasi kwamba sasa anapingana na bosi wake ambaeni ni RPC waziwazi,

Amehujumu maamuzi ya RPC kwa kiwango kikubwa, na zaidi anajichukulia maamuzi yake bila kufuata taratibu za kiutawala na kiutendaji.

Mfano jana kavamia ngome ya Chadema akiwa na makada wa ccm anadai amepata taarifa chadema ina mabomu na smg, alipoombwa kibali cha kuja kukagua akawa hana, hivyo akazuiwa na kutaka kuanzisha fujo zisizo na ulazima, mpaka alipopewa taarifa Rpc na kuingilia kati suala hilo na yeye akatokomea na wahuni wenzake,

Matukio mengine madogomadogo anayoyafanya hapa kalenga yanaweza kizaa umwagaji damu hapo kesho au keshokutwa asipodhibitiwa huyu RCO,

IGP Ernest Mangu muwajibishe huyu mtu.
Yericko Nyerere
===>Kabla hujatuma post hakikisha unaelewa vizuri unachokiandika,kuna tofauti kati ya RSO na RCO!
 
Last edited by a moderator:
Chadema kalenga ni sawa na mgonjwa aliyeshindikana hospitali anaenda kusubiria kifo nyumbani
Tena mgonjwa huyu atafia njiani Chalinze (kwenye uchaguzi mdogo) akiwa njiani anarudishwa Tengeru kwa wazazi wake
 
mkuu Yericko nadhani unamaanisha RCO..
.kwa jinsi ninavyomfahamu RSO ndugu Gaspar Mahe ni mtu makini mwenye weledi wa hali ya juu. Na hiyo si moja ya kazi yake.
 
Historia inaonyesha, ukishaona CHADEMA wamepamba moto katika kutunga uongo namna hii, ni dhahiri kuwa wameshikwa pabaya, na keshokutwa hakuna watakachaoambulia, nilimsikia MBOWE anaapa mungu kuwa likitumika daftari la mwaka 2014, "KITAWAKA", Sasa nikajiuliza huyu huyu Mbowe ndiye aliyekuwa anashinikiza daftari liboreshwe, leo hii daftari Limeboreshwa anaanza kutishia watu wazima nyau!
 
Wakuu kwanza
nimpongeze RPC Mungi kwakusimamia miiko ya kazi ya upolisi hapo Iringa,

Lakini tatizo lipo kwa huyu RCO, huyu anatumika waziwazi na ccm, kiasi
kwamba sasa anapingana na bosi wake ambaeni ni RPC waziwazi,

Amehujumu maamuzi ya RPC kwa kiwango kikubwa, na zaidi anajichukulia
maamuzi yake bila kufuata taratibu za kiutawala na kiutendaji.

Mfano jana kavamia ngome ya Chadema akiwa na makada wa ccm anadai
amepata taarifa chadema ina mabomu na smg, alipoombwa kibali cha kuja
kukagua akawa hana, hivyo akazuiwa na kutaka kuanzisha fujo zisizo na
ulazima, mpaka alipopewa taarifa Rpc na kuingilia kati suala hilo na
yeye akatokomea na wahuni wenzake,

Matukio mengine madogomadogo anayoyafanya hapa kalenga yanaweza kizaa
umwagaji damu hapo kesho au keshokutwa asipodhibitiwa huyu RCO,

IGP Ernest Mangu muwajibishe huyu mtu.

MODS: Badilisheni headline. RSO na RCO ni vyeo tofauti vya idara tofauti.
 
Yeye kasema RCO wewe RSO inatoka wapi?

Soma heading...Inazungumzia RSO lakini maelezo yanazungumzia RCO...

Hii inamaana muanzisha thread hayupo makini ama ni mbumbumbu...Anashindwa kutofautisha kati ya RSO na RCO...
 
Machadema acheni uhuni, mnaanza kujihami baada ya mipango yenu haramu ya kupanga mauwaji kuumbuka ee

Kwa statement yako hii,mnaonyesha ni kwa jinsi gani mnaogopa vyama vya upinzani na pili hamjui kwamba vyama vya upinzani vipo ndani ya ktiba ya nchi yetu na vitaendelea kuwepo.Ni ukweli mchungu lakini inabidi kuumeza.Tanguliza Uhuru,haki na uzalendo kwa taifa lako.
 
Wakuu kwanza nimpongeze RPC Mungi kwakusimamia miiko ya kazi ya upolisi hapo Iringa,

Lakini tatizo lipo kwa huyu RCO, huyu anatumika waziwazi na ccm, kiasi kwamba sasa anapingana na bosi wake ambaeni ni RPC waziwazi,

Amehujumu maamuzi ya RPC kwa kiwango kikubwa, na zaidi anajichukulia maamuzi yake bila kufuata taratibu za kiutawala na kiutendaji.

Mfano jana kavamia ngome ya Chadema akiwa na makada wa ccm anadai amepata taarifa chadema ina mabomu na smg, alipoombwa kibali cha kuja kukagua akawa hana, hivyo akazuiwa na kutaka kuanzisha fujo zisizo na ulazima, mpaka alipopewa taarifa Rpc na kuingilia kati suala hilo na yeye akatokomea na wahuni wenzake,

Matukio mengine madogomadogo anayoyafanya hapa kalenga yanaweza kizaa umwagaji damu hapo kesho au keshokutwa asipodhibitiwa huyu RCO,

IGP Ernest Mangu muwajibishe huyu mtu.

Mkuu, katika heading umeandika RSO na habari inaongelea RCO nadhani kuna kosa mahali.
 
Machadema acheni uhuni, mnaanza kujihami baada ya mipango yenu haramu ya kupanga mauwaji kuumbuka ee

mbona huwa unapenda sana kutumia mnduku badala ya kichwa kufikiri ?? Uhusiano wa comment yako na habari iliyo tolewa upo wapi??jaribu basi mara moja moja kutumia kichwa sio kila wakati unakuwa mtumwa wa akili ---- ya!
 
Historia inaonyesha, ukishaona CHADEMA wamepamba moto katika kutunga uongo namna hii, ni dhahiri kuwa wameshikwa pabaya, na keshokutwa hakuna watakachaoambulia, nilimsikia MBOWE anaapa mungu kuwa likitumika daftari la mwaka 2014, "KITAWAKA", Sasa nikajiuliza huyu huyu Mbowe ndiye aliyekuwa anashinikiza daftari liboreshwe, leo hii daftari Limeboreshwa anaanza kutishia watu wazima nyau!

we kweli hamnazo tume ilisha tanga kuwa litatumika daftari la mwaka 2010 hilo la 2014 linatoka wapi??wakati mwingine muwe mnajitahidi kutumia akili kidogo basi sio kila wakati mnakuwa na mawazo ya kitumwa,na hilo daftari lina boreshwa iringa peke yake??
 
Back
Top Bottom