Ukiangalia marekani wana vyama viwili tu na ni nchi kubwa kuliko tz embujiulize gharama za uchaguzi he tungekuwa tunazitumia kwenye huduma zakijamii na tuwe na vyama viwili tu
Nani kasema British ilikua democracy ile ni totalitarian ni ya kifalme Rome ilikua dictatorship USA Hanna demokras na Greek ilikua ni directly democracy sio hii tunayoambiwa
Eti mwanakijij hivijaman watu hawajui maana ya mfumo wa vyama vingi wanaongea sijui mmeishia kindagaten mnaandika taarabunzoisizo na point wala meaning
wew unajua nini kwanza umeishia darasa la pili na unawazo gan au hoja ipi ya maana au nitaarabu unatuandikia ?hii ni nchi ya vyama vingi bana usiongee upumbavu wako kama vile ccm imetoka mbinguni chizii nin?😕
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.